Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

Watakuwa wanakusanya kodi tuuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Raisu wa awamu hii anapeenda sana vitu vya starehestarehe sana
Ni mtu wa starehe sana πŸ˜… kuna clip niliiona sehemu,alikuwa kwenye hafla fulan na wamama wa kazanziber,wamepigilia Madera makali,vipuli vya dhahabu ,wanasaga tu midomo,na kutikisa maungo kwa mziki laini taratibuuu🀣🀣
 
Elimu yetu ndo tatizo!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
jengo la samia,la zanziba pamoja na majengo east africa kwa manufaa ya nani.madarasa hayana viti wala walimu wa kutosha,hospitali hakuna watumishi na madawa halafu tunaweka lavish majengo pale chamwino!nchi yangu tanzania.
 
Mkuu suala si wasomi tu walioboronga.
Nafikiri hata Idara zetu nyeti inabidi tuziulize.
Hivi kweli wamepitia hiyo final layout ya Ikulu hata kama bado facilities nyingine hazijengwa? na kujiridhisha kuwa masuala ya kiusalama yamezingatiwa?
 
Hata Dar lipo, uneshafika Ikulu ya Dar? Unakumbuka bwana yule kazi yake ya mwanzo mwanzo Ikulu ilikuwa ipi? Jikumbushe πŸ‘‡πŸΎ

View attachment 2632206
Usiwe muongo binti wa kiislamu. Hamna soko ndani ya Ikulu ya Magogoni. JPM alikuwa anafanya usafi nje ya eneo la Ikulu.

Amandla...
 
Kwa hiyo wewe ni mwanausalama.saaana kuliko wanausalama wenyewe?
 
Hoja ya msingi hata mimi nilijiuliza swali hili ila mwisho nikasema mengine hayanihusu acha yapite, its like kutakuwa na usalama mdogo hiyo ni sehemu nyeti sio ya kutakiwa kuingia watu wengi hasa ukizingatia ni sehemu yenye nyaraka kubwa za serikalini.


Any way hope waliosugest na kukubaliana hivyo waliangalia usalama lakini bado ni ukakasi
 
Jk aliongea kwenye uzinduzi juzi kuwa aliwatuma watu huko mbele.

Itakuwa ramani ya kwanza waliitupa hukoo
Kuiga majengo ya zamani ni ushamba uliopitiliza......

Ndio maana hata raisi ameshangaa mbona vyumba vidogo dogo sana.....

Kwa namna yoyote hatukutakiwa kuiga majengo ya zamani, matokeo yake ndio inaanzwa jengwa Samia Complex.....sababu jengo la sasa limeshaonyesha mapungufu kabla hata halijaanza tumika.
 
Jk aliongea kwenye uzinduzi juzi kuwa aliwatuma watu huko mbele.

Itakuwa ramani ya kwanza waliitupa hukoo
kweli kabisa. Ukiangalia JK alivyotawanya UDOM, lazima alikuwa na ramani ya tofauti pengine nzuri sana ya ikulu mpya. mwenda zake akagoma kuitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…