Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

Tukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tupo dada
 
Kushinda mtandaoni nayo ni KAZI kama hujui, Kuna bloggers, Authors, wafanyabiashara rudi form one usome what is work utapata majibu
 
Wewe huwa unajuaje Kama hizo IDs huwa zinashinda mtandaoni masaa yote hayo bila ya wewe kuwepo mtandaoni?
Tukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…