GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo?
2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo?
3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo?
Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na Mambumbumbu wa Soka pia ni Washamba mno kama siyo sana.
Sasa kwa Taarifa yenu kwa wale Wakongwe na tunaoujua vyema Mpira ( Fabo ) huyu Mungu Mtu Wenu Clatous Chota Chama hajafikia bado hata 50% tu ya Uwezo na Vipaji vya Watu kama Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' wa Simba SC na Athumani Abdallah China wa Yanga SC.
Mnaacha Kumjadili Mpuuzi wenu Mkuu Kipa Aishi Manula na anavyotufungisha Simba SC Kizembe Siku za karibuni tuko tu katika Kumjadili Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Olivieira kuwa kwanini Juzi alimpumzisha Mungu Mtu Wenu Chama tulipocheza na Mbeya City FC utadhani basi hata Wengi wetu tuna a,b,c's za Ukocha au hata huo Mpira wenyewe tulibahatika Kuucheza na tuliujua na tunaujua kwa Kuuchambua hata sasa.
Tumewachokeni na Chama wenu!!!!