3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Nani bibi nyau?Umeshamuuliza niliyekuagiza Kwake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani bibi nyau?Umeshamuuliza niliyekuagiza Kwake?
😂😂😂😄 Eti vita ya Maneno. Hapo nimekudhihaki wapi. Nimesema weka ushahidi unao ONYESHA umesoma SAUT. Walio soma SAUT wengi huwa hawapendi kujulikana wamesoma SAUT wakiwa mtandaoni hujifanya wamesoma UDSM.Cookie na Moderators Wengine wa JamiiForums Paw, YinYang, Active, Moderator na JamiiForums nimeshawalalamikiemi mno kuhusu huyu Mtu ambaye leo niseme Kwenu kuwa mnamlea mno na huenda pia mkawa mnafurahia jinsi anavyopenda Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia na hata Kunidhalilisha kwa kila Mada ambayo naianzisha hapa JamiiForums.
Najua anachokitaka ni Majibizano nami kisha nipandwe na Hasira ( Jazba ) na nianze Kumjibu hovyo kisha upesi sana Watu Wanaonichukia hapa Waniripoti Kwenu na mnipe BAN ya Wiki Mbili, Mwezi au Miezi Mitatu afurahie / Wafurahi.
Mimi mbona hata huwa sijishughulishi na Mada zake hapa JamiiForums? Hivi kama hanipendi GENTAMYCINE na havutiwi na Uwasilishaji wangu wa Masuala hapa JamiiForums kwanini haachani na Mimi na Kutwa amekuwa ni Mtu wa Kunifuatafuata tu?
Tafadhali kama huyu LIKUD anatumika Kimkakati ili Kunichokoza Kimakusudi GENTAMYCINE ili nihamaki nijibizane nae na mnipige BAN nisiwepo hapa JamiiForums semeni tu Wazi Kwangu kuwa nanyi hamnitaki na sitakiwi ili niwaachieni Jamvi lenu hili kwa Amani sawa? Inakera.
Na mwambieni huyu Mtu kuwa hawezi / haiwezi kamwe Vita ya Maneno na Majibizano nami hapa JamiiForums kama nikiamua ila Najiheshimu, Nauheshimu huu Mtandao Wenu na nawaheshimu sana Followers wangu na hata wale Wanaonikubali hivyo sitaki Kuwakwaza.
Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo
Na naomba hii post isifutwe tafadhali.
Imbecile😂😂😂😄 Eti vita ya Maneno. Hapo nimekudhihaki wapi. Nimesema weka ushahidi unao ONYESHA umesoma SAUT. Walio soma SAUT wengi huwa hawapendi kujulikana wamesoma SAUT wakiwa mtandaoni hujifanya wamesoma UDSM.
Walio soma BUTIMBA TTC ndio huwa wanajifanya wamesoma SAUT ndo maana nimekwambia uweke ushahidi.
Kuni chongea KWA mods kuna ONYESHA kabisa wewe ni ticha
Ticha GeymtamumysinImbecile
Takwimu hazitakiwi zote kumuangukia mchezaji mmoja, hicho ulichoandika hapo kinazidi kuonesha msivyoelewa hata vitu vidogo..Kingine ungekuja kupinga uungu wa Chama kwa takrimu.
Jumla ya mechi alizocheza
Idadi ya nafasi alizotengeneza akiwa Simba
Idadi ya Assist alizotengeneza
Idadi ya magoli aliyofunga
Hakuna timu duniani isiyofungwa, hata hizo timu zina GOAT lakini zinafungwa pamoja na kuwepo kwake. Kinachoangaliwa ni mchango wa mchezaji katika timu na mchango ni takwimu. Ni mchezaji gani pale Simba anaweza kuvaa viatu vya Chama? Unganisha hata wawili au watatu kama wapo.
Scars
Be aware, there's lot of hypocrites hereKingine ungekuja kupinga uungu wa Chama kwa takrimu.
Jumla ya mechi alizocheza
Idadi ya nafasi alizotengeneza akiwa Simba
Idadi ya Assist alizotengeneza
Idadi ya magoli aliyofunga
Hakuna timu duniani isiyofungwa, hata hizo timu zina GOAT lakini zinafungwa pamoja na kuwepo kwake. Kinachoangaliwa ni mchango wa mchezaji katika timu na mchango ni takwimu. Ni mchezaji gani pale Simba anaweza kuvaa viatu vya Chama? Unganisha hata wawili au watatu kama wapo.
Scars
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji850][emoji850] leo umejua kupiga kwenye mshono.Be aware, there's lot of hypocrites here
View attachment 2489850View attachment 2489851View attachment 2489852View attachment 2489853
Kwanza tambua unayejadiliana nae hapa sio shabiki wa Simba ni mshabiki wa mpira wa miguu, hivyo rekebisha kauli yako ya kusema Chama Mungu wangu.Takwimu hazitakiwi zote kumuangukia mchezaji mmoja, hicho ulichoandika hapo kinazidi kuonesha msivyoelewa hata vitu vidogo..
Hamjui maana ya chemistry ya timu, kama mngekuwa mnaijua, basi mngejua kwamba timu ikiwa na uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi za kufunga, toka kila upande, bila kumtegemea mtu mmoja, basi mfungaji au mtoa assist anaweza kuwa yeyote, hata beki, sio lazima awe huyo mungu mtu wenu.
Zaidi, mnavyolazimisha Chama apingwe kwa takwimu, lazima ujue matumizi yake kwa makocha waliotangulia yalikuwaje, kama walitengeneza timu kupitia Chama, basi lazima awe na takwimu nzuri..
Lakini huyu kocha mpya ameshasema anakuja kutengeneza timu, hataki kumtegemea mtu, which is very good, mpaka hapa ujue hizo takwimu zako za Chama zinaishia kwa makocha waliopita, huyu kocha mpya ana falsafa tofauti, lazima ujue kutofautisha hivyo vitu viwili, msiishi kwa kukariri, huu ni wakati mwingine Simba Sc..
Nyie jamaa mnafanya neno mbumbumbu lizidi ku trend.
Mkuu Genta, busara ulizomiminiwa na Fr Prof Kitima siku ya graduu 2009 kama overall best academic perfomer SAUT naomba zikatumike hapa na ukawe unawashinda adui zakoCookie na Moderators Wengine wa JamiiForums Paw, YinYang, Active, Moderator na JamiiForums nimeshawalalamikiemi mno kuhusu huyu Mtu ambaye leo niseme Kwenu kuwa mnamlea mno na huenda pia mkawa mnafurahia jinsi anavyopenda Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia na hata Kunidhalilisha kwa kila Mada ambayo naianzisha hapa JamiiForums.
Najua anachokitaka ni Majibizano nami kisha nipandwe na Hasira ( Jazba ) na nianze Kumjibu hovyo kisha upesi sana Watu Wanaonichukia hapa Waniripoti Kwenu na mnipe BAN ya Wiki Mbili, Mwezi au Miezi Mitatu afurahie / Wafurahi.
Mimi mbona hata huwa sijishughulishi na Mada zake hapa JamiiForums? Hivi kama hanipendi GENTAMYCINE na havutiwi na Uwasilishaji wangu wa Masuala hapa JamiiForums kwanini haachani na Mimi na Kutwa amekuwa ni Mtu wa Kunifuatafuata tu?
Tafadhali kama huyu LIKUD anatumika Kimkakati ili Kunichokoza Kimakusudi GENTAMYCINE ili nihamaki nijibizane nae na mnipige BAN nisiwepo hapa JamiiForums semeni tu Wazi Kwangu kuwa nanyi hamnitaki na sitakiwi ili niwaachieni Jamvi lenu hili kwa Amani sawa? Inakera.
Na mwambieni huyu Mtu kuwa hawezi / haiwezi kamwe Vita ya Maneno na Majibizano nami hapa JamiiForums kama nikiamua ila Najiheshimu, Nauheshimu huu Mtandao Wenu na nawaheshimu sana Followers wangu na hata wale Wanaonikubali hivyo sitaki Kuwakwaza.
Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo
Na naomba hii post isifutwe tafadhali.
Hapa nimetoka kumsoma Arteta, anazungumzia uwepo wa mchezaji mpya wa Arsenal Trossard..Kwanza tambua unayejadiliana nae hapa sio shabiki wa Simba ni mshabiki wa mpira wa miguu, hivyo rekebisha kauli yako ya kusema Chama Mungu wangu.
1) ili takwimu isiweze kumuangukia mchezaji mmoja basi wachezaji wote wanapaswa wawe na kiwango kinafanana na kitu ambacho kwenye mpira wa miguu haiwezekani.
2) Chemistry ni kitendo cha timu kucheza kwa maelewano na hata unavyoona Chama anavyotengeneza nafasi na kutoa assist ni kwasababu timu imekuwa na chemistry nzuri. Kama unalikataa hilo basi niambie lini ulimuona chama kaenda kukaba mwenyewe kwenye lango lake kisha akakokota mpira na kujipasia mwenyewe mpaka kufunga goli.
Chemistry haipandishi wala kushusha kiwango cha mchezaji, kinachomtofautish Chama na wachezaji wengine ni ule ubora aliokuwa kulinganisha na wenzie. Ka mpira hautaji wachezaji waliobora basi Messi asingegombaniwa.
Kibu denis hawezi kuwa mchezaji bora kama chama kwasababu tu ya chemistry
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] Eti vita ya Maneno. Hapo nimekudhihaki wapi. Nimesema weka ushahidi unao ONYESHA umesoma SAUT. Walio soma SAUT wengi huwa hawapendi kujulikana wamesoma SAUT wakiwa mtandaoni hujifanya wamesoma UDSM.
Walio soma BUTIMBA TTC ndio huwa wanajifanya wamesoma SAUT ndo maana nimekwambia uweke ushahidi.
Kuni chongea KWA mods kuna ONYESHA kabisa wewe ni ticha
Sina haja ya kuhojiana tena na wewe. Nimeshakujua ni mtu wa aina gani, Scars kaishakuumbua.Hapa nimetoka kumsoma Arteta, anazungumzia uwepo wa mchezaji mpya wa Arsenal Trossard..
Arteta ameulizwa, itakuwa vipi Trossard kama ata fit kwenye chemistry ya Arsenal kutokana na wachezaji alionao na umri wa Trossard, 28 yrs?
Alichojibu, amesema anaamini phylosophy na chemistry ya timu ita mu intergrate Trossard..
Hapo maana yake nini, mchezaji hata akiwa vipi, bado chemistry ya timu itammemza, atafanana na wenzake...
Sasa wewe sijui umeandika vitu gani hapo, nyie mnaamini uwezo wa mtu mmoja kuibeba timu, yani kama vile Trossard angetoka Brughton kisha aende Arsenal na assist zake, na magoli yake!
You better quit my friend, hapa unapewa mifano hai na halisi, toka dunia ya mpira, hakuna kubahatisha, hizi nondo huzipati pengine, sio kama hizo kelele zenu...Sina haja ya kuhojiana tena na wewe. Nimeshakujua ni mtu wa aina gani, Scars kaishakuumbua.
Umezidiwa hoja ukakimbilia kutafuta comments zilizopita, ukaona iwe ndio defence yako ya mwisho, kwangu huu wako ni upeo mdogo tu, nakupiga tena..Be aware, there's lot of hypocrites here
View attachment 2489850View attachment 2489851View attachment 2489852View attachment 2489853
Mashabiki wa Simba wengi ni oya oya1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo?
2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo?
3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo?
Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na Mambumbumbu wa Soka pia ni Washamba mno kama siyo sana.
Sasa kwa Taarifa yenu kwa wale Wakongwe na tunaoujua vyema Mpira ( Fabo ) huyu Mungu Mtu Wenu Clatous Chota Chama hajafikia bado hata 50% tu ya Uwezo na Vipaji vya Watu kama Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' wa Simba SC na Athumani Abdallah China wa Yanga SC.
Mnaacha Kumjadili Mpuuzi wenu Mkuu Kipa Aishi Manula na anavyotufungisha Simba SC Kizembe Siku za karibuni tuko tu katika Kumjadili Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Olivieira kuwa kwanini Juzi alimpumzisha Mungu Mtu Wenu Chama tulipocheza na Mbeya City FC utadhani basi hata Wengi wetu tuna a,b,c's za Ukocha au hata huo Mpira wenyewe tulibahatika Kuucheza na tuliujua na tunaujua kwa Kuuchambua hata sasa.
Tumewachokeni na Chama wenu!!!!
Ukikua utaachaCookie na Moderators Wengine wa JamiiForums Paw, YinYang, Active, Moderator na JamiiForums nimeshawalalamikiemi mno kuhusu huyu Mtu ambaye leo niseme Kwenu kuwa mnamlea mno na huenda pia mkawa mnafurahia jinsi anavyopenda Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia na hata Kunidhalilisha kwa kila Mada ambayo naianzisha hapa JamiiForums.
Najua anachokitaka ni Majibizano nami kisha nipandwe na Hasira ( Jazba ) na nianze Kumjibu hovyo kisha upesi sana Watu Wanaonichukia hapa Waniripoti Kwenu na mnipe BAN ya Wiki Mbili, Mwezi au Miezi Mitatu afurahie / Wafurahi.
Mimi mbona hata huwa sijishughulishi na Mada zake hapa JamiiForums? Hivi kama hanipendi GENTAMYCINE na havutiwi na Uwasilishaji wangu wa Masuala hapa JamiiForums kwanini haachani na Mimi na Kutwa amekuwa ni Mtu wa Kunifuatafuata tu?
Tafadhali kama huyu LIKUD anatumika Kimkakati ili Kunichokoza Kimakusudi GENTAMYCINE ili nihamaki nijibizane nae na mnipige BAN nisiwepo hapa JamiiForums semeni tu Wazi Kwangu kuwa nanyi hamnitaki na sitakiwi ili niwaachieni Jamvi lenu hili kwa Amani sawa? Inakera.
Na mwambieni huyu Mtu kuwa hawezi / haiwezi kamwe Vita ya Maneno na Majibizano nami hapa JamiiForums kama nikiamua ila Najiheshimu, Nauheshimu huu Mtandao Wenu na nawaheshimu sana Followers wangu na hata wale Wanaonikubali hivyo sitaki Kuwakwaza.
Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo
Na naomba hii post isifutwe tafadhali.
Unafuka moshi wa kuni mbichi..!!!Kamuulize Mama yako Mzazi anajua.
Imbecile.Ukikua utaacha