Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] Eti vita ya Maneno. Hapo nimekudhihaki wapi. Nimesema weka ushahidi unao ONYESHA umesoma SAUT. Walio soma SAUT wengi huwa hawapendi kujulikana wamesoma SAUT wakiwa mtandaoni hujifanya wamesoma UDSM.

Walio soma BUTIMBA TTC ndio huwa wanajifanya wamesoma SAUT ndo maana nimekwambia uweke ushahidi.

Kuni chongea KWA mods kuna ONYESHA kabisa wewe ni ticha
Aisee mpe vidonge vyake ,maana kutwa nzima kukulalamikia kuwa unamtukana Mara unamdhiaki wakt hkn tusi lolote ulilorusha kwake Toka mm nikufahamu

Nashangaa kukulalamikia kwa moderator
Ni jamaaa angu namkubali ila wakt mwingine anakuwa chenga sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom