Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

Point
 
Umenifurahisha hapo kwenye MBUMBUMBU.

By the way, Manula hakupewa hela ili afungwe goli la vile..!!?? Maana magori ya vile yakifungwa na Yanga huwa mnasema Yanga wametoa hela. Wana Mbeya wale nao walimwaga mpunga..!!??
 
Mwaka 2000 ulikuwa la ngapi?
 
Kingine ungekuja kupinga uungu wa Chama kwa takrimu.
Jumla ya mechi alizocheza
Idadi ya nafasi alizotengeneza akiwa Simba
Idadi ya Assist alizotengeneza
Idadi ya magoli aliyofunga

Hakuna timu duniani isiyofungwa, hata hizo timu zina GOAT lakini zinafungwa pamoja na kuwepo kwake. Kinachoangaliwa ni mchango wa mchezaji katika timu na mchango ni takwimu. Ni mchezaji gani pale Simba anaweza kuvaa viatu vya Chama? Unganisha hata wawili au watatu kama wapo.
Scars
 
Alikuwa kwao mara ujitani na kamasi puani
Maana anatupigiaga kelele sana as if chuo kikuu kasoma peke yake..!! Nimemuuliza mwaka huo alikuwa la ngapi maana ili ajue kuna waliofika chuo kikuu wengi tu humu tena wengine wana umri sawa na wazazi wake
 
Hopeless.
 
Hii point namba3 sijui ni mwaka gani huo ambao Simba ilicheza robo fainali ya CAFCL pasipo kuwepo Chama. Kumbukumbu zangu ni CAFCC ndio Simba walicheza robo fainali bila Chama
Huna Akili.
 
Weka picha ili tuwe na uhakika kama ulisoma SAUT kweli sio blah blah blah.


Katika maisha halisi mesoma Diploma ya Ualimu Butimba TTC ila JF umesomea SAUT.

Something is missing in ur head
Cookie na Moderators Wengine wa JamiiForums Paw, YinYang, Active, Moderator na JamiiForums nimeshawalalamikiemi mno kuhusu huyu Mtu ambaye leo niseme Kwenu kuwa mnamlea mno na huenda pia mkawa mnafurahia jinsi anavyopenda Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia na hata Kunidhalilisha kwa kila Mada ambayo naianzisha hapa JamiiForums.

Najua anachokitaka ni Majibizano nami kisha nipandwe na Hasira ( Jazba ) na nianze Kumjibu hovyo kisha upesi sana Watu Wanaonichukia hapa Waniripoti Kwenu na mnipe BAN ya Wiki Mbili, Mwezi au Miezi Mitatu afurahie / Wafurahi.

Mimi mbona hata huwa sijishughulishi na Mada zake hapa JamiiForums? Hivi kama hanipendi GENTAMYCINE na havutiwi na Uwasilishaji wangu wa Masuala hapa JamiiForums kwanini haachani na Mimi na Kutwa amekuwa ni Mtu wa Kunifuatafuata tu?

Tafadhali kama huyu LIKUD anatumika Kimkakati ili Kunichokoza Kimakusudi GENTAMYCINE ili nihamaki nijibizane nae na mnipige BAN nisiwepo hapa JamiiForums semeni tu Wazi Kwangu kuwa nanyi hamnitaki na sitakiwi ili niwaachieni Jamvi lenu hili kwa Amani sawa? Inakera.

Na mwambieni huyu Mtu kuwa hawezi / haiwezi kamwe Vita ya Maneno na Majibizano nami hapa JamiiForums kama nikiamua ila Najiheshimu, Nauheshimu huu Mtandao Wenu na nawaheshimu sana Followers wangu na hata wale Wanaonikubali hivyo sitaki Kuwakwaza.

Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo

Na naomba hii post isifutwe tafadhali.
 
Tulia mtoto wa kiume hakuna kulia lia eboo
Mnajisifu mmefanyiwa jando bila ganzi pambana sasa
 
Athumani China ilikuwa ni “mashine” ile. Alikuwa hachoki, yeye ni kuinasa mipira na kutawanya. Alikuwa anaitwa “sumaku”; sababu ya kunasa mipira pale katikati.
 
Athumani China ilikuwa ni “mashine” ile. Alikuwa hachoki, yeye ni kuinasa mipira na kutawanya. Alikuwa anaitwa “sumaku”; sababu ya kunasa mipira pale katikati.
Chama wenu / wao hata hajafikia 50% yake na 50% ya Gaga nashangaa Wapuuzi wanavyompamba na kumfanya Mungu Mtu wao ndani ya Simba SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…