Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

😂😂😂😄 Eti vita ya Maneno. Hapo nimekudhihaki wapi. Nimesema weka ushahidi unao ONYESHA umesoma SAUT. Walio soma SAUT wengi huwa hawapendi kujulikana wamesoma SAUT wakiwa mtandaoni hujifanya wamesoma UDSM.

Walio soma BUTIMBA TTC ndio huwa wanajifanya wamesoma SAUT ndo maana nimekwambia uweke ushahidi.

Kuni chongea KWA mods kuna ONYESHA kabisa wewe ni ticha
 
Imbecile
 
Takwimu hazitakiwi zote kumuangukia mchezaji mmoja, hicho ulichoandika hapo kinazidi kuonesha msivyoelewa hata vitu vidogo..

Hamjui maana ya chemistry ya timu, kama mngekuwa mnaijua, basi mngejua kwamba timu ikiwa na uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi za kufunga, toka kila upande, bila kumtegemea mtu mmoja, basi mfungaji au mtoa assist anaweza kuwa yeyote, hata beki, sio lazima awe huyo mungu mtu wenu.

Zaidi, mnavyolazimisha Chama apingwe kwa takwimu, lazima ujue matumizi yake kwa makocha waliotangulia yalikuwaje, kama walitengeneza timu kupitia Chama, basi lazima awe na takwimu nzuri..

Lakini huyu kocha mpya ameshasema anakuja kutengeneza timu, hataki kumtegemea mtu, which is very good, mpaka hapa ujue hizo takwimu zako za Chama zinaishia kwa makocha waliopita, huyu kocha mpya ana falsafa tofauti, lazima ujue kutofautisha hivyo vitu viwili, msiishi kwa kukariri, huu ni wakati mwingine Simba Sc..

Nyie jamaa mnafanya neno mbumbumbu lizidi ku trend.
 
Be aware, there's lot of hypocrites here

 
Kwanza tambua unayejadiliana nae hapa sio shabiki wa Simba ni mshabiki wa mpira wa miguu, hivyo rekebisha kauli yako ya kusema Chama Mungu wangu.

1) ili takwimu isiweze kumuangukia mchezaji mmoja basi wachezaji wote wanapaswa wawe na kiwango kinafanana na kitu ambacho kwenye mpira wa miguu haiwezekani.

2) Chemistry ni kitendo cha timu kucheza kwa maelewano na hata unavyoona Chama anavyotengeneza nafasi na kutoa assist ni kwasababu timu imekuwa na chemistry nzuri. Kama unalikataa hilo basi niambie lini ulimuona chama kaenda kukaba mwenyewe kwenye lango lake kisha akakokota mpira na kujipasia mwenyewe mpaka kufunga goli.
Chemistry haipandishi wala kushusha kiwango cha mchezaji, kinachomtofautish Chama na wachezaji wengine ni ule ubora aliokuwa kulinganisha na wenzie. Ka mpira hautaji wachezaji waliobora basi Messi asingegombaniwa.
Kibu denis hawezi kuwa mchezaji bora kama chama kwasababu tu ya chemistry
 
Mkuu Genta, busara ulizomiminiwa na Fr Prof Kitima siku ya graduu 2009 kama overall best academic perfomer SAUT naomba zikatumike hapa na ukawe unawashinda adui zako

Wasaalam
 
Hapa nimetoka kumsoma Arteta, anazungumzia uwepo wa mchezaji mpya wa Arsenal Trossard..

Arteta ameulizwa, itakuwa vipi Trossard kama ata fit kwenye chemistry ya Arsenal kutokana na wachezaji alionao na umri wa Trossard, 28 yrs?

Alichojibu, amesema anaamini phylosophy na chemistry ya timu ita mu intergrate Trossard..

Hapo maana yake nini, mchezaji hata akiwa vipi, bado chemistry ya timu itammemza, atafanana na wenzake...


Sasa wewe sijui umeandika vitu gani hapo, nyie mnaamini uwezo wa mtu mmoja kuibeba timu ndio chemistry? kisha huyo mchezaji akifanyiwa sub mnakuwa wakali?! wacha uongo, hujui maana ya chemistry.

Yani kama vile Trossard angetoka Brighton kisha aende Arsenal na assist zake, na magoli yake!

Mwisho, sio kweli unaposema timu kucheza kwa chemistry ni maelewano ya mchezaji mmoja, hakuna chemistry ya sampuli hiyo hapa duniani, ya kumtegemea mchezaji mmoja, asipokuwepo timu haichezi, kama ilivyotokea Chama alipopewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu wataje wa Butimba TTC mkuu, ikiwezekana kama camera ziliwanasa na masare yao uziweke hapa
 
7
Kuna mambo ya Maana sana ya kuyajadili.


1. Uuzwaji wa Mabasi na magari kiholela, kwanini wasiwape MASHABIKI Ile Gali kulitumia kusafiria mikoani wakawa wanajichanga Hela zinaenda kwenye Club

2. Magori ya kizembe sana Anayofungwa Manura.

3. Injury za wachezaji Muhimu.
Maendeleo ya Inonga na Phili.

4. Wachezaji Mizigo kama kanute kupunguza mirafu yake
Kukosekana kwa wachezaji zaidi ya Saba.

5 kuelekea uchaguzi mkuu Simba nk
Mapato ya Club kwa Mwaka...
JE yabafanya nini nk nk

6. Usajili mbovu wa Dirisha dogo kuwakosa wachezaji wazuri.


SEMA WENGI AKILI ZETU NI MUFILISI.
 
Sina haja ya kuhojiana tena na wewe. Nimeshakujua ni mtu wa aina gani, Scars kaishakuumbua.
 
Sina haja ya kuhojiana tena na wewe. Nimeshakujua ni mtu wa aina gani, Scars kaishakuumbua.
You better quit my friend, hapa unapewa mifano hai na halisi, toka dunia ya mpira, hakuna kubahatisha, hizi nondo huzipati pengine, sio kama hizo kelele zenu...

Huyo Scars pamoja nawe mna mawazo mgando, msiojua makocha wamekuja tofauti, wenye mitazamo/falsafa tofauti, nyie mmebaki na mawazo mgando ya Mgunda, kumtetemekea mungu mtu wenu, wakati wajanja tunatembea na akili mpya ya kocha mzungu...

Ndio maana hata maswali yote ya Gemntamycine mmeshindwa kujibu, ubishi tu!.
 
Umezidiwa hoja ukakimbilia kutafuta comments zilizopita, ukaona iwe ndio defence yako ya mwisho, kwangu huu wako ni upeo mdogo tu, nakupiga tena..

Ungekuwa mwerevu ungejua kutofautisha wakati gani hizo comment zilitolewa, Simba ikiwa chini ya kocha gani, aliyekuwa na falsafa ipi, sio kukurupuka na kukariri kama ufanyavyo...

Muhimu mmeulizwa maswali matatu kule juu, tunasubiri majibu yenu?

Au mnaogopa mungu mtu ameachwa wazi!
 
Mashabiki wa Simba wengi ni oya oya
 
Ukikua utaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…