Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Sidhani kama upo sober, unajuwa maana ya haki ya faragha?Ndio nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama upo sober, unajuwa maana ya haki ya faragha?Ndio nini??
Haki ya faragha kumuingilia mwanamke kinyume cha maumbile ni haki ya faragha!!??Sidhani kama upo sober, unajuwa maana ya haki ya faragha?
Unanimalizia bundle tu, sijui hata hapa tunajadili nini.Haki ya faragha kumuingilia mwanamke kinyume cha maumbile ni haki ya faragha!!??
Unawaonea wivu wanawake?Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Unabishana na Shoga. Achana nayeUnanimalizia bundle tu, sijui hata hapa tunajadili nini.
Ndo hivyo, Siku ukiwakuta na mkeo ujue wameruka ukuta. Usiwatukane wewe pita kimya kimya tuKuna mafala mengine yenye familia kabisa utayakuta yanahalalisha huo UPUMBAVU vijiweni eti "siku hizi tigo ni habari za mjini, ukimla Ke bila ya kula jicho lake anakudharau kabisa"
Nilichefukwa nikayatukana vizuri sana kuwa si kila Me anayejitambua ni Mpumbavu sawa na wao hadi walibadili mada....hiki kizazi kilipofikia pthuuu...[emoji2961]
Nafikiri ni vizuri kuelewa muktadha wa hii issue. Mapenzi kwa watu wa jinsi moja mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke ndiyo hoja. Mwanamke na mwanaume wakishajifungia sehemu kinachofanyika na namna kinavyofanyika ni juu yao na makubaliano yao.Kwa ivo mwanaume kwa mwanamke ni sawa tu!! Yaani ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke!!??
Japokuwa Mimi sio muumini wa huo ushetani lkn hoja yako ni dhaifu sanaMsengapavi kuna swali nauliza sijibiwi.
1. Jee Mwanaume kwa mwanaume wakifanya mambo yao faragha hakuna shida??
2. Mwanaume kumuingilia mwanamke kinyume cha maumbile mradi wanafanyia chumbani kwao hakuna shida??
Udhaifu wake upo kwenye eneo lipi!!??Japokuwa Mimi sio muumini wa huo ushetani lkn hoja yako ni dhaifu sana
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kutoa uhai wa mtu kwa sababu yoyote ile iliyo kinyume cha sheria ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Mashoga pia ni wanadamu na wana haki ya kuishi.Dawa ya mashoga ni kuwazika wakiwa hai, wataisha wote.
Wewe ni shogaKutoa uhai wa mtu kwa sababu yoyote ile iliyo kinyume cha sheria ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Mashoga pia ni wanadamu na wana haki ya kuishi.
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Anashangaza sana.Unabishana na Shoga. Achana naye
Shoga katika ubora wako!!!Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Wewe Ni wale wale TU,kwani umesikia wapi wamarekani wanahamasisha kuf****** hoja ni mapenzi ya jinsia moja ambayo automatically watu Hawa unajua kwamba katika jamii wanaleta madhara makubwa kuhusiana na maadili na asili ya maumbile ya mwanadamu, mfano: Leo hii wewe uolewe na mwanaume mwenzio maana yake Ni kuwa watu wataanza kuona maajabu Kwa Sababu lengo la watu kuoana Ni kuzaliana.Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile
Jenga hoja wewe achana na maneno ya maji taka!!Shoga katika ubora wako!!!
Siwezi na kamwe sitafanya hiyo laana, Mungu aniepushie mbali mimi na kizazi changu, Amina.Ndo hivo
Ndo hivyo, Siku ukiwakuta na mkeo ujue wameruka ukuta. Usiwatukane wewe pita kimya kimya tu