Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Unawaonea wivu wanawake?

Tunaanza kwanza na Mashoga. Vumilia
 
Ndo hivo
Kuna mafala mengine yenye familia kabisa utayakuta yanahalalisha huo UPUMBAVU vijiweni eti "siku hizi tigo ni habari za mjini, ukimla Ke bila ya kula jicho lake anakudharau kabisa"

Nilichefukwa nikayatukana vizuri sana kuwa si kila Me anayejitambua ni Mpumbavu sawa na wao hadi walibadili mada....hiki kizazi kilipofikia pthuuu...[emoji2961]
Ndo hivyo, Siku ukiwakuta na mkeo ujue wameruka ukuta. Usiwatukane wewe pita kimya kimya tu
 
Kwa ivo mwanaume kwa mwanamke ni sawa tu!! Yaani ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke!!??
Nafikiri ni vizuri kuelewa muktadha wa hii issue. Mapenzi kwa watu wa jinsi moja mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke ndiyo hoja. Mwanamke na mwanaume wakishajifungia sehemu kinachofanyika na namna kinavyofanyika ni juu yao na makubaliano yao.
 
Msengapavi kuna swali nauliza sijibiwi.

1. Jee Mwanaume kwa mwanaume wakifanya mambo yao faragha hakuna shida??

2. Mwanaume kumuingilia mwanamke kinyume cha maumbile mradi wanafanyia chumbani kwao hakuna shida??
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?

kwanza unatakiwa ujue madhara ya kumwingilia mtu kinyume na maumbile ni kwamba unatanua anus hivyo kuzuia haja kubwa au ushuzi inakuwa taabu kubwa. shida kubwa hapa kwa wanaume .akili zao sijui zimewekwa matakoni. Mungu kwa upendo mkubwa kabisa aliona watoto wake wa enjoy sex.akawaumba wanawake wakiwa na sehemu za siri zenye sura nzuri kabisa ya kutamanisha.katobo kazuri kabisa.sasa wewe mwanaume mwenye akili kweli unaingizaje ume wako kwenye mavi? iwe kwa mwanaume mwenzio au kwa mwanamke ,why uingize penis yako kwenye sehemu ya kutolea mavi na ushuzi? mimi nasema kwamba mashoga na wanaowangillia wanawake kinyume na maumbile wana ugonjwa wa kifafa ambao uko sehemu ya temporal lobe .kwa kitalamu ugonjwa huu unaitwa temporal lobe epilepsy. WATU wenye kifafa cha aina hii wakinusa mavi wanasikia harufu nzuri sana.sasa imagine wewe unajua kuwa sehemu hii niya kutolea mavi then unaingiza umme humo huoni kinyaa .tutasema kweli ni mzima?
 
Kuna watu wanajaribu kuhalalisha upuuzi wa kuwaingilia wake zao kinyume na maumbile kwa hoja dhaifu kwamba eti usipomwingilia ataingiliwa na watu wengine watakaomtongoza huko nje!Nyie watu ondoeni hizo perceptions kwani mnakosea Mungu kwa sababu mnachuma dhambi za kunyanyasa mama zetu zisizo na mashiko.Hata kama utapata anayependa hivyo mkanye ww mwingilie kunakoruhusiwa asepe kama ni mke alale

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Shoga katika ubora wako!!!
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile
Wewe Ni wale wale TU,kwani umesikia wapi wamarekani wanahamasisha kuf****** hoja ni mapenzi ya jinsia moja ambayo automatically watu Hawa unajua kwamba katika jamii wanaleta madhara makubwa kuhusiana na maadili na asili ya maumbile ya mwanadamu, mfano: Leo hii wewe uolewe na mwanaume mwenzio maana yake Ni kuwa watu wataanza kuona maajabu Kwa Sababu lengo la watu kuoana Ni kuzaliana.
Lakini mwanamke anaweza kuolewa na Hakuna ambaye anaweza kuwaza kuwa atazaaje na atafanye mapenzi Kwa kuwa anacho ambacho mungu kamuumbia Kwa kuendeleza kizazi,Ila suala la kuf*****, utakuwa Ni ushenzi wao Hakuna hatakaye fikilia kuwa wataenda kufanya.
Lakini Kwa mwanaume kuolewa na mwanaume hapo ufi***ji utafikiliwa na utakuwa Kwa kuwa mwanaume hana K Ila anayo Nye na mb, lengo la wanaoleta ujinga huu ni kujiakikishia utawala wao katika dunia hii hawa wanaleta tatizo ili wanajua hatma yake na ndio watakaoleta utatuzi ili waendelee kutufanya nyumbu wao.
Wewe ujiulizi Kwanini Hawa ambao unasema wamezaliwa hivyo wapo sasa hivi TU baada ya utandawazi kutamalaki Ila zamani walikuwa wapi? Ninachojua ambacho ungeshauri Kwa hilo kutoa elimu Kwa jamii ni kukemea vitendo hivyo Kwa wote wenye michezo hiyo,hasa ukizingatia kwamba ushoga karibia 99% unasababishwa na matendo ya wanadamu na si maumbile ya mungu.
 
Binafsi nafikili kumuingilia mwanamke kinyume cha Maumbile ni ushoga vile vile kama ilivyo otherwise, lkn Wanawake wenyewe wanasemaje ? Why wako kimya , Kazi yao kubwa ni Kuwa machawa na Kwenda Kumpongeza bi Tozo tu, hili la Kumenywa takoni hawalipigii kelele kabisa
 
Back
Top Bottom