Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah mm ndio nimepitia Mengi maana Kuna mwingine alikuwa analala Kwa kujitawanya miguu everywhere,mwingine nlikuwa nkilala nae nikiamka lazima nikute uso mwekundu na unauma,nadhani alikuwa ananizabu usingizini.

Japo na mm walikuwa wananisema nakoroma na kuvurumisha mabomu ya Hamas ila hapana kwakweli kulala pamoja daile ni jau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…