Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Ama kweli kila mtu na starehe yake.

Mie nishazoea kulala nyuma ya matako, nikilala pekee yangu usingizi ni wa maruweruwe tu, mara niote fisi kala mguu wangu, mara niote nakojoa ub00 umekatika umedumbukia kwenye sink na imeuflash.

Lakini nikilala na mama watoto, alalie kifua, au nilale nyuma ya matako, dah.. Nasahau kama kibanda changu cha makuti kinavujisha.
😂🤣🤣
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Mahaba wakati wa kulala ni somo muhimu lakini halifundishwi.
Mahaba yanaanzia chumba kiweje, kitanda kikae vipi, mke alale amegeukia wapi na mume alale upande upi. Hayo yote yanapaswa kuwa considered kwenye design ya chumba cha kulala.
Kwenye kulala, kiafrika hakuna kitu kinaitwa night dress, bali ni kila mtu anabaki alivyozaliwa isipokuwa mke akiwa anashuhudia simba anachezea 1 -5 dhidi ya yanga ndo analala amejistetiri asichafue mashuka. Hiyo ndo tafsri ya kuambiwa karibu chama cha walala uch.

Mlalapo mnahakikisha hakuna kizuizi baina yenu siyo nguo wala mtoto. Mume ndo anatakiwa akumbatie, tena dushe liegemee tauko.
Faida ya shuka moja kiroho ni kuwakinga wenzi wasitembelewe na jini mahaba wakiwa usingizini.
Mengine muwe mnauliza wakubwa, kuuliza siyo ujinga.
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
It's pain full 🌕🌝🌝🌕🌝 😂😂😂😂🤣🤣🤣😁😁😁😊😊☺️☺️
 
Mimi nikilala mashariki asubuhi najikuta naamkia kusini asa sijui ataweza🤔🤣🤣🤣😓
Du basi wewe ni hatari. Inaonekana umri wako bado mdogo. Wewe ni KE au ME? Mimi nilikuwa na hilo tatizo zamani nilipokuwa mdogo (nimegundua watu wengi huwa hivyo wanapokuwa wadogo lakini wakiwa watu wazima wanaacha). Kuna mdada mmoja alikuwa kwenye 20s yeye alikuwa anacheza kung fu.. Jamaa kalala naye siku moja nikasikia usiku kilio ''mamaa''. Kumbe ni yule dada amejiviringisha na kugeuka, halafu akarusha teke likampa kidevuni. Na haya yote alikuwa anafanya huku amelala fo fo fo.
 
Cuddling doesn't mean that
{1D0DA7A9-EE6F-41D1-93BF-F5FFB0B1537C}.png.jpg
 
Mahaba wakati wa kulala ni somo muhimu lakini halifundishi.
Mahaba yanaanzia chumba kiweje, kitanda kikae vipi, mke alale amegeukia wapi na mume alale upande upi. Hayo yote yanapaswa kuwa considered kwenye design ya chumba cha kulala.
Kwenye kulala, kiafrika hakuna kitu kinaitwa night dress, bali ni kila mtu anabaki alivyozaliwa isipokuwa mke akiwa anashuhudia simba anachezea 5-1 dhidi ya yanga ndo analala amejistetiri asichafue mashuka.
Hiyo ndo tafsri ya kuambiwa karibu chama cha walala uch.
Mlalapo mnahakikisha hakuna kizuizi baina yenu siyo nguo wala mtoto. Mume ndo anatakiwa akumbatie, tena dushe liegemee tauko.
Faida ya shuka moja kiroho ni kuwakinga wenzi wasitembelewe na jini mahaba wakiwa usingizini.
Mengine muwe mnauliza wakubwa, kuuliza siyo ujinga.
Aisee!😃
 
Du basi wewe ni hatari. Inaonekana umri wako bado mdogo. Wewe ni KE au ME? Mimi nilikuwa na hilo tatizo zamani nilipokuwa mdogo (nimegundua watu wengi huwa hivyo wanapokuwa wadogo lakini wakiwa watu wazima wanaacha). Kuna mdada mmoja alikuwa kwenye 20s yeye alikuwa anacheza kung fu.. Jamaa kalala naye siku moja nikasikia usiku kilio ''mamaa''. Kumbe ni yule dada amejiviringisha na kugeuka, halafu akarusha teke likampa kidevuni. Na haya yote alikuwa anafanya huku amelala fo fo fo.
🤣🤣🤣

Hadi watu wazima wanalala hovyo.
 
Back
Top Bottom