Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
- Thread starter
- #61
nyie ndio wageni sasa😂Mi nakula kila kitu baba
nyie ndio wageni sasa😂Mi nakula kila kitu baba
😂😂😂Hii mada umenikumbusha kipindi Fulani miaka ya nyuma tumeenda kulima na akawa ameandaa chakula safi kabisa.jogoo kubwa lilichinjwa lakini Mimi nikasema Huwa nakula niliyoichinja Mimi.Jamaa alisikitika na ikabidi niandaliwe mboga za majani lakini ilivyokuwa imenona lile jogoo nilikuwa nalitamani hadi nikawa najilaumu Kwa nini nimewaambia sili ambayao sijachinja?Toka siku Ile nikaona ni usenge na Kwa Sasa nakula vizuri pamoja na nyama ya nguruwe naitandika vizuri kabisa
Dagaa unakula samaki wadogo na utumbo wake na michanga ya kutosha😅😳😳😳
Nilienda usukumani nikakuta michembe iliyopikwa wenyewe wanaita matobolwa, walipokuwa wanapakua kwa mbali kidogo nikadhani ni pilau, kuja kusogezwa kumbe michembe... kutowakwaza wenyeji ikabidi nile japo nilikuwa dis appointed 😆Zote zinanikinaisha tu sio kwamba sijawahi kula ila hazipandi tu.
Michembe ndio chakula gani mkuu?Nilienda usukumani nikakuta michembe iliyopikwa wenyewe wanaita matobolwa, walipokuwa wanapakua kwa mbali kidogo nikadhani ni pilau, kuja kusogezwa kumbe michembe... ikabidi nile japo nilikuwa dis appointed 😆
Usijaribu kunikaribisha!nyie ndio wageni sasa😂
Nitajuta?Usijaribu kunikaribisha!
Wasafi wapo mbona sikuhiziDagaa unakula samaki wadogo na utumbo wake na michanga ya kutosha😅
🤤Wewe kwa lile furushi la ugali , kitu ambacho hauli ni sumu tu na nauli kwa kweli🤔
Dagaa nile tu kwa hamu na malimao ya kutosha.Wasafi wapo mbona sikuhizi
Huu wa leo mdogo , kuna ule ulikua mkubwa hatari
Hapo sawaHuu wa leo mdogo , kuna ule ulikua mkubwa hatari
Utajisikiaje ndugu yako katoka abroad, amekuja kukutembelea , ukaamua kupika wali na maharagwe na pilika pilika kibao ili kumkirimu mgeni, unapakua na kumpatia mgeni halafu mgeni anakitizama chakula kwa mashaka na kusema hali, utajisikiaje?Sili aisee. Herd mentality iliyopo bongo ni mbaya sana. Lazima kuwe na mipaka. Na ndiyo maana watu wanapata kiburi cha kukuingilia uhuru, usipooa watakutenga, usipozaa watakutenga, usipolewa watakutenga nk.
Herd mentality 😀😀😀Sili aisee. Herd mentality iliyopo bongo ni mbaya sana. Lazima kuwe na mipaka. Na ndiyo maana watu wanapata kiburi cha kukuingilia uhuru, usipooa watakutenga, usipozaa watakutenga, usipolewa watakutenga nk.
SanaNitajuta?