Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

Michembe ndio chakula gani mkuu?
Michembe ni viazi vitamu wanavikata vipande vidogo vidogo na kuvikausha juani...
Asili ya jina la mkoa wa Tabora imetokana na neno 'Matobolwa' ndio hio michembe.. maana kilikuwa chakula pendwa hapo.. baadae wageni wakitaka kwenda pale Tabora wanasema 'lets go to Matobolwa town' , matobolwa hadi ikawa Tabora...
 
Ila watanzania wengi tunajitahidi sana kumwandalia mgeni chakula kizuri na cha kipekee , chakula cha mgeni hata watoto wanafukuzwa wakacheze kwa jirani na mazingira yanawekwa vizuri mno tofauti na siku zote.
 
Utaratibu niliolelewa nao ni kwamba mgeni anaulizwa anataka nini.
 
Kila jina la mkoa lina asili ya kitu fulani mpaka pale wazungu watakapo kosea kusema , kumbe tabora wazungu hawakuhusika🤔
 
Ila watanzania wengi tunajitahidi sana kumwandalia mgeni chakula kizuri na cha kipekee , chakula cha mgeni hata watoto wanafukuzwa wakacheze kwa jirani na mazingira yanawekwa vizuri mno tofauti na siku zote.
Hatari sana... imagine hizo juhud zote halafu mgeni amekataa chakula...
 
Huwa nasemaga hili , hii kitu hauwezi kula bila cha kusindikizia , yani ugali ni backup ili mtu ale mboga tu🤔
Ugali bila mboga haiwezekani. Hauna ladha yoyote. Tasteless kuna mzungu alisema kwanini hamuweki chumvi au hata sukari 😀😀😀
 
Hatari sana... imagine hizo juhud zote halafu mgeni amekataa chakula...
Noma Sana ,nakumbuka miaka ya 90 hiv mgeni akiwa anataka kuja, mama alikua anaremba nyumba na toilet paper, chakula tunachinja kuku kinawekwa kwenye hotpot ,kinafunikiwa na kitambaa cha kutarizi spesheli kwa mgeni / wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…