Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

Noma Sana ,nakumbuka miaka ya 90 hiv mgeni akiwa anataka kuja, mama alikua anaremba nyumba na toilet paper, chakula tunachinja kuku kinawekwa kwenye hotpot ,kinafunikiwa na kitambaa cha kutarizi spesheli kwa mgeni / wageni.
Ni utamaduni mzuri kumkirimu mgeni..
 
Huku mtimua?
Maana wanatumbi wengi tuna hang hang kwenye vyakula hivo?
Nilimrudisha mkuu nilikaa nae miezi miwili tu nikanyoosha mikono juu, na nilimtoa ngara huko nauli nilitoa 150k iliniumaaa.
 
Sasa madhara si hicho kichefuchefu ? Bora mboga yangu iwe maharage kila siku kuliko dagaa , toka nilitafunia kokwa la konokono hazipandi kabisa ,dagaa nitawapa kuku wakue halafu niwachinje hizi dagaa nizile zikiwa ndani ya kuku.
Navyopenda ugali na dagaa naona kama unakosa utamu ๐Ÿ˜‚
 
Navyopenda ugali na dagaa naona kama unakosa utamu ๐Ÿ˜‚
Mimi napenda ndizi za maharage na mboga za majani, au maziwa , ila dagaa ugali makande hapana kabisa ๐Ÿ‘
 
Mimi napenda ndizi za maharage na mboga za majani, au maziwa , ila dagaa ugali makande hapana kabisa ๐Ÿ‘
hahaha mimi nakula almost kila kitu kipikwe tu vizuri..
Nilishawahi kwenda sehemu walikua wanachinja ngโ€™ombe na nnavopenda nyama niliona sifiki, sasa hiyo nyama ilivokua imepikwa!
Sitasahau hadi nakufa niliondoka na njaa yangu ๐Ÿ˜‚
 
Na uzuri mmoja Africa karibu yote ukitoa Daslamu jogoo mkubwa huwa ni wa mgeni๐Ÿ˜‹
Huwa ni heshima ya kipekee...

umepika wali, kuku, mboga za majani, viazi na matunda katika hivyo lazima tu mgeni kuna anachotumia, kuliko kuuliza watu 'una njaa, utakula nini?'

Kwenye vinywaji ni sawa kuuliza mtu 'coffee?, soda?, beer ,juice ?' hata maji usiweke maana hachelewi kusema 'nipe maji tu' kumbe anataka beer.. ๐Ÿ˜‚
 
hahaha mimi nakula almost kila kitu kipikwe tu vizuri..
Nilishawahi kwenda sehemu walikua wanachinja ngโ€™ombe na nnavopenda nyama niliona sifiki, sasa hiyo nyama ilivokua imepikwa!
Sitasahau hadi nakufa niliondoka na njaa yangu ๐Ÿ˜‚
Waliipikaje hio nyama?
 
Mambo ya kuambiwa karibu ukisikie upo nyumbani hayo , kumbe ni utapeli tu bwashee , huwa wageni tunaelewa hizo code ndio maana tunachukua maji tu๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ