Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Changamoto ni kwamba amestaafishwa kwa lazima. Hii haipo sawa sana

Ushauri kwa Lissu, afanye fund mobilisation and wajenge ukumbi mkubwa na Ofisi haya mambo yafanyike huko, hiyo biashara ya kulipa mamilioni kugharamia ukumbi na meza haipo sawa. Bilioni 1 inaweza kujenga hivyo vitu watafute Mkandarasi mzuri tu au watumie Force Account 😅
 
Msichojua kuna matajiri wakubwa, hutumia watu wapeleke michango Chadema. Huwa hawataki kujulikana. Sababu ccm huwasumbua kwenye biashara zao. Ila wapo na wanatoa pesa sana, kaja mtu anayependa uwazi na ukweli anaweza sema kiasi wanachopokea, toka kwa hao wanaojitolea.

Kingine ushauri tu. Kila mwanachama achangie kadi hata buku 10. T-shirt, scarf na kofia, yale magwanda, bendera za chama. Zitengenezwe na Chama, ili wanachama wanunue kuongeza pato la Chama. Najua TAL atasimamia hizo pesa vizuri. Chadema kinakuja kuwa Chama tajiri, kijiendeshe chenyewe. Kila la kheri TAL, CHADEMA ✌️
 
Back
Top Bottom