View attachment 3212543
John Mnyika ulikuwa na nafasi ya kufafanua uzushi mwingi na uongo ambao Lissu na timu yake walikuwa wanamchafua Freeman.
Ukachagua kukaa kimya baada ya matusi yale na kuchafuka dingi akaonekana hafai kabisa kwenye chama akapigwa chini huku akiwa kachafuka haswa.
Ndio unajitokeza unawaambia hali halisi wajumbe ambao walilishwa uongo na uchafu kwa takribani miezi miwili.
Huu unafki wako utakuja kukurudia siku moja, na kama ulikuwa unatekeleza maagizo ya kitima basi sio muda mtaumbuka wote.