Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbuka kipindi kile kilikuwa ni kampeni na ni uchaguzi. Sifa hizi n baada ya uchaguzi. Tofautisha uchaguzi na maisha baada ya uchaguzi mkuu. Nafikiri hili lieweke vyema
Mbowe bado nmwanachama wa cdm ila co mwenyekiti wa cdm. Uchaguzi umeisha anabakia kuwa mshauri na ile n kampen uctarajie kampeni ukamsifia mpinzani wako. LAbda hukuelewa game ilivyokuwa
 
Ums

Umeshachelewa......kubali maumivu tu
Kumtukana Mbowe na kumteua tena Mnyika kuwa Katibu Mkuu hii maana yake ni kwamba Tuhuma za Mbowe ilikuwa ni kampeni tu, Naujua mfumo na ufanyaji kazi wa Chadema, Hakuna anachoweza kufanya Mwenyekiti ambacho Katibu hakijui
 
Lkn rudia video nyuma ilipoanzia hapo umekata wkt anazungumza. Alisema hajalissma hilo awali kwsbb ingekuwa kampeni ya kumpigia mbowe na ili uchaguzi uende salama sasa ndio maana akalisema baada ya uchaguzi. Nafkr n busara tu ilitumika hapa
 
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
FAM amefanya jambo jema sana. Tunamshukuru yeye na wote waluompa hizo pesa. Hata hivyo chama kutegemea mtu mmoja siyo jambo la kushangilia. Ni heri chama kufa kuliko kuishi kwa kutegemea nguvu ya mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom