Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
he still is. Bado ataendelea kuwa mfadhili wa mageuzi nchini.Yes, he was a gentleman ofcourse
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he still is. Bado ataendelea kuwa mfadhili wa mageuzi nchini.Yes, he was a gentleman ofcourse
Kuwa na shukrani hata kwa kidogo basimbowe na wadau wengine(ambao hatuwajui), na gharama ni ukumbi, tshirt na maandalizi ila si zote
Marehemu Mengi alikuwa anassupport sana hiki chama pasi n kujifichaMsichojua kuna matajiri wakubwa, hutumia watu wapeleke michango Chadema. Huwa hawataki kujulikana. Sababu ccm huwasumbua kwenye biashara zao. Ila wapo na wanatoa pesa sana, kaja mtu anayependa uwazi na ukweli anaweza sema kiasi wanachopokea, toka kwa hao wanaojitolea.
Kingine ushauri tu. Kila mwanachama achangie kadi hata buku 10. T-shirt, scarf na kofia, yale magwanda, bendera za chama. Zitengenezwe na Chama, ili wanachama wanunue kuongeza pato la Chama. Najua TAL atasimamia hizo pesa vizuri. Chadema kinakuja kuwa Chama tajiri, kijiendeshe chenyewe. Kila la kheri TAL, CHADEMA ✌️
Marehemu Sabodo pia. Kuna wengine waoga, wanaogopa kusumbuliwa. Hutumia watu ambao nao hawajui ni tajiri gani kachangia.Marehemu Mengi alikuwa anassupport sana hiki chama pasi n kujificha
Marehemu Sabodo pia. Kuna wengine waoga, wanaogopa kusumbuliwa. Hutumia watu ambao nao hawajui ni tajiri gani kachangia.
Hata mikopo na si lazma kuanzia umbumbi wanaweza anza kwa kuwekeza vitu vidogo vidogo chama kianze kuwa na resourcesChangamoto ni kwamba amestaafishwa kwa lazima. Hii haipo sawa sana
Ushauri kwa Lissu, afanye fund mobilisation and wajenge ukumbi mkubwa na Ofisi haya mambo yafanyike huko, hiyo biashara ya kulipa mamilioni kugharamia ukumbi na meza haipo sawa. Bilioni 1 inaweza kujenga hivyo vitu watafute Mkandarasi mzuri tu au watumie Force Account 😅
Hizi nazo ukiwa kwa mitungu ya oryx si unaonekana kama mtungiIla kusema kweli nguo za CHADEMA zinapendeza hata kanisani unavaa vizuri tu, sio zile za kijani ukiwa kwenye shamba la mahindi kuonekana ngumu
HaaNampongeza Rostam Aziz kwa ukarimu 🐼
mitundi haina rangi ya white mkuuHizi nazo ukiwa kwa mitungu ya oryx si unaonekana kama mtungi
Na ufadhili hautakuwa na maswali yoyote akiutoa kwa sasa na kuendelea!Ndo muda wa mbowe kuwa sponsor wa chama
Hapo sawa nyekundumitundi haina rangi ya white mkuu
Hilo jambo la kujenga ukumbi linakuaga kipele sana, watu wanatumia vikao kama fursa ya kupiga hela.Changamoto ni kwamba amestaafishwa kwa lazima. Hii haipo sawa sana
Ushauri kwa Lissu, afanye fund mobilisation and wajenge ukumbi mkubwa na Ofisi haya mambo yafanyike huko, hiyo biashara ya kulipa mamilioni kugharamia ukumbi na meza haipo sawa. Bilioni 1 inaweza kujenga hivyo vitu watafute Mkandarasi mzuri tu au watumie Force Account 😅
Safi Mbowe na Lissu kwa kutoa mfano mzuri mno wa demokrasi nchini. Wale majamaa sijui watakuwa wamejifunza kitu?Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
Ikimpendeza aendelee kugharamia na zile zijazo ikibidi hata za majiraniKatibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA