imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Historia ya Mwamba Mbowe itaandikwa kwa wino wa Dhahabu.he still is. Bado ataendelea kuwa mfadhili wa mageuzi nchini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historia ya Mwamba Mbowe itaandikwa kwa wino wa Dhahabu.he still is. Bado ataendelea kuwa mfadhili wa mageuzi nchini.
Na bado wajumbe wamemtosa noma snKatibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
yeah hata Lissu alisema publicly. watu wasio wanafiki huwa ninawakubali sana. Ni watu strong! Leo nimeitafuta ID yangu ya kugongea kura!Historia ya Mwamba Mbowe itaandikwa kwa wino wa Dhahabu.
gharama zingine ni nauli na poshonza wajumbe ambazo ni gedha nyingi sanambowe na wadau wengine(ambao hatuwajui), na gharama ni ukumbi, tshirt na maandalizi ila si zote
TAL sasa tumuone,atakipeleka chadema wapi!Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
Yes, he was a gentleman ofcourse
Kwanza mkamalize deni la Mwenyekiti Lissu,T
Utakichangia chama chetu kwa moyo mmoja.
Chama kitwambie ni account ipi ya bank na simu tuanze mara moja.
Tupo tayari
Unaona? Hiki chama.CHADEMA kilikuwa mali yake ndo maana ya kauli hii! Chama kinatakiwa kiwe mali ya wanachama na kinatakiwa kiendeshwe kwa mapato ya chama kutoka LUZUKU + MICHANGO, HADA za chamaKatibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
Msichojua kuna matajiri wakubwa, hutumia watu wapeleke michango Chadema. Huwa hawataki kujulikana. Sababu ccm huwasumbua kwenye biashara zao. Ila wapo na wanatoa pesa sana, kaja mtu anayependa uwazi na ukweli anaweza sema kiasi wanachopokea, toka kwa hao wanaojitolea.
Kingine ushauri tu. Kila mwanachama achangie kadi hata buku 10. T-shirt, scarf na kofia, yale magwanda, bendera za chama. Zitengenezwe na Chama, ili wanachama wanunue kuongeza pato la Chama. Najua TAL atasimamia hizo pesa vizuri. Chadema kinakuja kuwa Chama tajiri, kijiendeshe chenyewe. Kila la kheri TAL, CHADEMA ✌️
Historia ya Mwamba Mbowe itaandikwa kwa wino wa Dhahabu.
Ambao hatuwajui. Inawezekana ni ccmmbowe na wadau wengine(ambao hatuwajui), na gharama ni ukumbi, tshirt na maandalizi ila si zote
Hivi hujui maana ya kampeni?!mkuu post za matusi yako kwa Mbowe tumezihifadhi
😂😂😂😂View attachment 3210082
John mwenyewe sasa
Pia posho kwa wajumbembowe na wadau wengine(ambao hatuwajui), na gharama ni ukumbi, tshirt na maandalizi ila si zote