Umbea, tukuvalishe shela?Baraza Kuu CHADEMA lashindwa kuendelea na mikutano yake kutokana na team Lissu kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani city, Wajumbe wameanza kumkumbuka Mbowe mapema sana.
Inasemekana wanatafuta Ukumbi wa bei rahisi kwa muda huu.
Mangi kakomba zote.Duh! Akaunti ya chama haina kitu!!??
Wewe ni Yericko?Baraza Kuu CHADEMA lashindwa kuendelea na mikutano yake kutokana na team Lissu kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani city, Wajumbe wameanza kumkumbuka Mbowe mapema sana.
Inasemekana wanatafuta Ukumbi wa bei rahisi kwa muda huu.
Upo apo kwa shemeji yako baada ya kushiba ugali na magimbi umeamua kushikaa remote ya tv na bando la mia tano ukaamuaa uje uandike uku jf.Baraza Kuu CHADEMA lashindwa kuendelea na mikutano yake kutokana na team Lissu kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani city, Wajumbe wameanza kumkumbuka Mbowe mapema sana.
Inasemekana wanatafuta Ukumbi wa bei rahisi kwa muda huu.
Milion miatatu na kidogo zinaweza kujenga ukumbi wa kutoshea mikutano ya ChamaChangamoto ni kwamba amestaafishwa kwa lazima. Hii haipo sawa sana
Ushauri kwa Lissu, afanye fund mobilisation and wajenge ukumbi mkubwa na Ofisi haya mambo yafanyike huko, hiyo biashara ya kulipa mamilioni kugharamia ukumbi na meza haipo sawa. Bilioni 1 inaweza kujenga hivyo vitu watafute Mkandarasi mzuri tu au watumie Force Account 😅
Kwa taarifa wanachama Chadema wanataka chama kitawafanyie nini sio wao wakifanyie niniumefika MUDA wa kujengwa na wananchi ....harafu tuone nizama zipi sahihi
Hiki chama kuna watu wamemwagwa pesa. Unamkumbuka marehemu Ndesa pesa ? Katika wafu waliojitolea katika nchi hizo ni wawili tu Marehemu Ndesamburo na Filikunjombe. Mpaka leo hoi hakuna wabunge waliofanya zaidi ya hao. Nasikitika sana kuona mbowe na Lowassa kuchezea hela kwenye siasa. Bora kuwekeza kwenye jamii na malipo yake utapata mara mbili. Hakuna mwanaludewa atakuvumilia ukisema vibaya Filikunjombe. Hakuna mchaga atakuelewa ukimchafua Ndesa mwana pesa.Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
Achukue nafasi ya SabodoNdo muda wa mbowe kuwa sponsor wa chama
Chama kilishakufa walipokubaliana Lowassa kugombea urais. Wangegombania na Slaa 2015 uchaguzi ungenoga sana na malipo yake chama kungekuwa na nguvu mpaka leo. Mtu anaingia chamani leo na leo leo mnampa nafasi ya kugombea urais kupitia chama hicho.Kwa taarifa wanachama Chadema wanataka chama kitawafanyie nini sio wao wakifanyie nini
.Chadema inaenda kufa mikononi mwa lofa Lisu na timu lofa Lisu
Malofa akiwemo Lisu walipaishwa na Chadema kuwaka nyota zao kwa pesa ambazo hawakuwa nazo
Chadema inaenda kufa mikononi mwa Lisu
Mark my words .
Kufikia uchaguzi wa October 2024 Chadema itakuwa hoi bin taabani kifedha na uchaguzi itaingia ikiwa inachechemea
Hakuna uwezekano wa chadena kupata mbunge hata mmoja kwa uongozi huu wa malofa uliopo
avoid trash in huge agendaKwa taarifa wanachama Chadema wanataka chama kitawafanyie nini sio wao wakifanyie nini
.Chadema inaenda kufa mikononi mwa lofa Lisu na timu lofa Lisu
Malofa akiwemo Lisu walipaishwa na Chadema kuwaka nyota zao kwa pesa ambazo hawakuwa nazo
Chadema inaenda kufa mikononi mwa Lisu
Mark my words .
Kufikia uchaguzi wa October 2024 Chadema itakuwa hoi bin taabani kifedha na uchaguzi itaingia ikiwa inachechemea
Hakuna uwezekano wa chadena kupata mbunge hata mmoja kwa uongozi huu wa malofa uliopo
Baraza Kuu CHADEMA lashindwa kuendelea na mikutano yake kutokana na team Lissu kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani city, Wajumbe wameanza kumkumbuka Mbowe mapema sana.
Inasemekana wanatafuta Ukumbi wa bei rahisi kwa muda huu.
Mnyika analeta dhihaka kwa mstaafuKatibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
Umeshachelewa......kubali maumivu tuView attachment 3212543
John Mnyika ulikuwa na nafasi ya kufafanua uzushi mwingi na uongo ambao Lissu na timu yake walikuwa wanamchafua Freeman.
Ukachagua kukaa kimya baada ya matusi yale na kuchafuka dingi akaonekana hafai kabisa kwenye chama akapigwa chini huku akiwa kachafuka haswa.
Ndio unajitokeza unawaambia hali halisi wajumbe ambao walilishwa uongo na uchafu kwa takribani miezi miwili.
Huu unafki wako utakuja kukurudia siku moja, na kama ulikuwa unatekeleza maagizo ya kitima basi sio muda mtaumbuka wote.
Tunaweka records sawa sawa, tuliaUms
Umeshachelewa......kubali maumivu tu