Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Sijawahi kuona upumbavu kama huu, mtu uliyetaka kumuua kwa siri kapona! Badala ya kuona aibu...unatangaza waziwazikuwa kuwa unataka kumuua sasaWakisema ataenda msibani eti ndo iwehuruma ya kutokamatwa.
wenye msiba hawataki aende.
Kama amefanikiwa hapa hofu yenu ni nn ninyi wazilankende?Jukwaani hapa Jamii forum ni sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu ..Lissu anakuja kukusahaulisha maumivu ya wajumbe ....tafadhari msimfanyie ubayaWajumbe washatuvuruga na huyo jamaa nae atuvuruge!!.atukubali.
Wewe tukana tu as much as you want, lakini nikuhakikishie hizo agenda zenu za kisiasa mnazo jaribu kuficha kwenye matamko ya "mapokezi" ya Lisu will be stopped and dealt with accordingly.Acheni kuweweseka bc mkuu...jaribuni kuficha upimbi wenu ... airport ni nyeti ya serikali au nyeti ya yesu wa chatto??
Ahaaa,,,basi sawa aje kwa utulivu,tatizo nyinyi wa mitandao mnamuharibia kwa kuhamasisha maandamano.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu ..Lissu anakuja kukusahaulisha maumivu ya wajumbe ....tafadhari msimfanyie ubaya
Lissu anatakiwa aishi maisha marefu ili aone maendeleo yanayoletwa na serikali ya CCM mpaka atakapoamua kuunga mkono juhudi.Sijawahi kuona upumbavu kama huu, mtu uliyetaka kumuua kwa siri kapona! Badala ya kuona aibu...unatangaza waziwazikuwa kuwa unataka kumuua sasa
Aje alisaidie jeshi la polisi kumaliza sintofahamu ya shambulio lake.Si mlisema hawezi kurudi ?? Kwnn mnajinyea nyea??
Acha kujidanganya, atafikia korokoloni!
Watia huruma unaandamwa mno na njozimfu.Wakisema ataenda msibani eti ndo iwehuruma ya kutokamatwa.
wenye msiba hawataki aende.
Itakuwa jamaa aliliwa mkeweAlikusaliti nini
Mbona amjazuiwa kwenda kutoa pole, kwan kumpokea mgeni ni kosaMsituchanganye na huyo mnyoa kiduku wenu.taifa linamajonzi makubwa kwa sasa.
Kila nikimtafakari Mungu namshangaa sana,hasa kila nikisikia au kuona picha ya bwana Lissu ,kiukweli ni kama mzimu au ndoto,karibu sana Bwana Lissu tunatofautiana itikadi lkn nafsi yangu inanisuta Welcome Brother japo sitakuja kukupokea lkn nakukaribisha kwa moyo mmoja
They call him Lissu and i call him muujiza(Miracle)....huu ni muujiza unaotembeaLissu siku moja atafanya makubwa mno katika hii nchi,
Ukiwa unafikiria vizuri kaa vizuri kisha jiulize kwa nini Lissu alipigwa risasi zote zile na hakifa..!?
Lazima kuna kusudu Mungu amemuwekea alifanye.
Kuna vichwa maji watakuja wamepanic hapa...