Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Wakisema ataenda msibani eti ndo iwehuruma ya kutokamatwa.
wenye msiba hawataki aende.
Sijawahi kuona upumbavu kama huu, mtu uliyetaka kumuua kwa siri kapona! Badala ya kuona aibu...unatangaza waziwazikuwa kuwa unataka kumuua sasa
 
Acheni kuweweseka bc mkuu...jaribuni kuficha upimbi wenu ... airport ni nyeti ya serikali au nyeti ya yesu wa chatto??
Wewe tukana tu as much as you want, lakini nikuhakikishie hizo agenda zenu za kisiasa mnazo jaribu kuficha kwenye matamko ya "mapokezi" ya Lisu will be stopped and dealt with accordingly.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu ..Lissu anakuja kukusahaulisha maumivu ya wajumbe ....tafadhari msimfanyie ubaya
Ahaaa,,,basi sawa aje kwa utulivu,tatizo nyinyi wa mitandao mnamuharibia kwa kuhamasisha maandamano.
 
Sijawahi kuona upumbavu kama huu, mtu uliyetaka kumuua kwa siri kapona! Badala ya kuona aibu...unatangaza waziwazikuwa kuwa unataka kumuua sasa
Lissu anatakiwa aishi maisha marefu ili aone maendeleo yanayoletwa na serikali ya CCM mpaka atakapoamua kuunga mkono juhudi.
 
Hizo drama za kuhani msibani nacho ni kituko kingine. Mnatumia misiba ya mtu kwenye agenda zenu za kisiasa! Isitoshe kwa uzalendo upi na mapenzi yapi ya Lisu kwa wastaafu na nchi hii! Naamini tulio wengi, pamoja na ndugu wa marehemu hatujasahau mizunguko yake duniani kuiombea Tanzania kila lisilo jema. Leo ghafla chama chako kimeratibu huyu mtu kuhani msibani?? Ndo hapo wenye lugha zao wanasema 'on my Dead body'.
 
Kila nikimtafakari Mungu namshangaa sana,hasa kila nikisikia au kuona picha ya bwana Lissu ,kiukweli ni kama mzimu au ndoto,karibu sana Bwana Lissu tunatofautiana itikadi lkn nafsi yangu inanisuta Welcome Brother japo sitakuja kukupokea lkn nakukaribisha kwa moyo mmoja
 
Jr[emoji769]
 
1595780199218.png
 
Lissu siku moja atafanya makubwa mno katika hii nchi,
Ukiwa unafikiria vizuri kaa vizuri kisha jiulize kwa nini Lissu alipigwa risasi zote zile na hakifa..!?
Lazima kuna kusudu Mungu amemuwekea alifanye.
Kuna vichwa maji watakuja wamepanic hapa...
 
They call him Lissu and i call him muujiza(Miracle)....huu ni muujiza unaotembea
 
Back
Top Bottom