uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Daah sura zetu tutaficha wapi sisi kwa aibu hii, na salamu za pongezi tulishaanza kumtumia kaka yetu wa idhaa ya kiswahili kutoka london.
Mbuzi? Daah punguza basi maneno ya kebehi mboni Zuhura yupo ikulu kwani na yeye ni Mbuzi?Mlifikiri watateuliwa wale mbuzi wa BBC
Wewe ndio Nchengerwa? Panga pungua weka toaAnasubiria ukurugenzi wa tbc
Ghorofa linateketea kwa moto watu wapo chini wanakuangalia na fire nao wapo hapo hapo wanapiga ruti tu sa utafanyaje acha liungue tuBila ya aibu yoyote, unasema upo tayari kuyaweka maendeleo ya Tanzania ndani ya 'freezer' kwa miaka mingine mitano?
Jameni, kwa nini msiionee hii nchi huruma?
Tuliposasa kama nchi, kwa mfano wako huo, ni bora kabisa ya kujirusha toka kwenye ghorofa linaloungua,angalao mwili utazolewa ukapewe heshima za maziko kuliko kuteketea na kuwa majivu.Ghorofa linateketea kwa moto watu wapo chini wanakuangalia na fire nao wapo hapo hapo wanapiga ruti tu sa utafanyaje acha liungue tu
Fanya hivi emu fafanua hizo Rolls Royce's RR km ulivyoziandika alafu tuoneMsinisemeshe mengi.
Reconcile
Resilience
Reform
Rebuilding.
Fanya hivi emu fafanua hizo Rolls Royce's RR km ulivyoziandika alafu tuone
Summarize hapa hizo Rolls Royce's RR sio lazima nisome hayo magazeti yakoFalsafa ya R 4 za Rais Samia inakupa Mtanzania uhuru wako wa kweli
Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi". Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania...www.jamiiforums.com
RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla. R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...www.jamiiforums.com
Kila uzi na mada yake.Summarize hapa hizo Rolls Royce's RR sio lazima nisome hayo magazeti yako
Summary nayo Ina Uzi we Bibi vipi ndio ulivyofundishwa hivyo kuwajibu wakubwa?Kila uzi na mada yake.
huyu jamaa namfahamu vizuri na amesoma vizuri sana mambo ya uandishi wa habariRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Uteuzi wako haukutangazwa popote, sasa tuseme wewe ni njia zipi zilizokufikisha huko, ambazo hao wengine inawawia vigumu kupafikia? Usiseme unayo nafuu kuwazidi wao.Tetesi: pascal Mayala jina lake lilijadiliwa kidogo sana, halikufika hata juu ya meza ya katibu, walilibwaga mapema sana kwa kuwa duru za intelijensia walimuona ana kauli chafu chafu za kibaguzi na uelewa wake wa kupambanua na kuchanganua mambo ulikuwa mdogo sana. Yaani ni bwege bwege fulani hivi anaejiona anajuwa kuliko handlers wake.
kikeke alionekana bado ana utoto mwingi na hayupo serious, pia hayupo vizuri na baadhi ya vyombo vya habari.
Hao wawili wajirekebishe, bado zipo nafasi nyingi za kuwekwa. Nawashauri wazisome na wazielewe kwa kina R nne za mama Samia.
Wakijirekebisha wana fursa kubwa sana ya kupelekwa mambo ya nje kama maafisa wa habari nje ya Tanzania. Waelewe kwa undani dhanna ya diplomasia ya uchumi.
Kama kuna short course za chuo cha diplomasia, wawahi kuzichukuwa.
Msinisemeshe mengi.
Reconcile Resilience Reform Rebuilding.
Sina uteuzi wowote.Uteuzi wako haukutangazwa popote, sasa tuseme wewe ni njia zipi zilizokufikisha huko, ambazo hao wengine inawawia vigumu kupafikia? Usiseme unayo nafuu kuwazidi wao.
Kosa lake lilikuwa nini?Magu alikuwa anamuua isingekuwa Kichere kuingilia kati jamaa alichukuliwa miez mitatu na usalama
Magu alikuwa anamuua isingekuwa Kichere kuingilia kati jamaa alichukuliwa miez mitatu na usalama
Nilisikia sehemu kauli kama hii sehemu! Hivi alimfanyaje mchapakazi huyu?JPM alimuonea sana huyu Bwana Matinyi.Acha nyota yake ichanue sasa
Hakuna mtu Wala taasisi imewahi patia Uteuzi wowote wa Mama,mara zote Huwa anawapiga chenga 😁😁Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Hii post ingemfaa Jerry Murro