Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

Bila ya aibu yoyote, unasema upo tayari kuyaweka maendeleo ya Tanzania ndani ya 'freezer' kwa miaka mingine mitano?

Jameni, kwa nini msiionee hii nchi huruma?
Nawaza tu endapo nchi hii itachukuliwa na chadema au upinzani ,je itachukua miaka mingapi kukijenga chama hicho kiuchumi kwa pesa ya walipa kodi wa Tanzania ndio maendeleo ya nchi yaje badae?nikiyakumbuka haya naamua kusimama na mama 2025
 
Vipi kuhusu ayubu
 
Kwakweli maaana tangu kaja bongo namuona kma kawa mshamba sana kma hajaishi ulaya anaongea sana na kma kawa Comedian vile
 
Nawaza tu endapo nchi hii itachukuliwa na chadema au upinzani ,je itachukua miaka mingapi kukijenga chama hicho kiuchumi kwa pesa ya walipa kodi wa Tanzania ndio maendeleo ya nchi yaje badae?nikiyakumbuka haya naamua kusimama na mama 2025

Punguza dharau na kebehi hazitakufikisha popote.
 
huyo wa BBCkajiharibia mwenyewe kwa Blaa Blaa zake amejitambulisha kama mtu mwenye mashara na utoto mwingi. Huwezi kumuweka msemaji wa serikali kwa Aina ya maisha anayojipambanua bwana yule!!
 
Aliye nacho ndiye huongezewa. Ngoja tusio nacho tuendelee kuwa watazamaji
 
mnadandia vitu msivyovijua , bwana matinyi ni mwandishi wa habari nguli tena mhariri mbobevu kabisa na kikubwa zaidi ni mtu wa mfumo, unadhani nchi inaendeshwa kwa social media? jamaa ni Senior sana katika kitengo , jiulize alipotoka mtanzania kama mhariri ilikuaje akaangukia ubalozi wa Tanzania Marekani? mtu tu wakuokota anapelekwa ubalozi kama muambata? Usemaji wa serikali sio kama zile press release za Zuhra Yunus lazima ujue nchi na nini kinaendelea na unaongea nini sio u MC wa Ikulu ule ile ni kazi very sensitive. sema tu kwakuwa nchi hii Jiwe alishaiharibu aliaminisha watu kila mtu anaweza kuingia serikalini kihuni tu na kufanya kazi yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…