DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Yaani kwa sasa naona kabisa uhusiano kati ya Russia na China umekuwa maradufu tofauti na awali kitu ambacho ni kibaya zaidi kwa U.S.A .Trump aliligundua hili na ndiyo maana akaamua kumfanya mmoja adui na mwengine rafiki. Aliamua kupambana na China ambaye kiuchumi ni tishio kubwa kwa US. Aligundua kuwa China analinda sana uchumi wake kuliko Russia hawezi kukubali umtie kidole machoni lazima kitawaka. Sasa ili uwawin wavuruge wasiwe pamoja. Wanawakati mgumu sana US. Si china wala Russia itawaamini kwenye mambo ya kulinda mustakabali wa uchumi na usalama wa mipaka ya nchi zao. Hatua walizozichukua dhidi ya Russia kwenye hii operation dhidi ya Ukraine ni mbaya sana kitaswira ya kimataifa.
Mimi kwa sasa napenda kuona namna cooperation mbalimbali zilizo anzishwa na China na Russia zinavyo zidi kuimarika mara dufu na mataifa mbalimbali yana omba kujiunga nazo huu ni ushindi mkubwa sana kwa China na Russia.