Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

Tanzanian MP Ahmed Shabiby says there is corruption in country's fuel Bulk Procurement System (BPS) and sabotage of oil flow metres at Dar es Salaam port

"Prices will decline if traders are allowed to import fuel outside BPS"

[emoji117] The MP owns a bus company, hotels, fuel stations
 
Shabiby huwa anaongea point sana.... baada ya SSH kustaafu, nashauri huyu jamaa wampe nafasi ya kugombea urais,
kama nchi mkitaka mafanikio ni lazma muwe na kiongozi mwenye mafanikio hasa kibiashara. Hamuwezi kukurupuka tu mkamkabidhi nchi mchunga ng'ombe ....!!!!.😂😂😂😂😂 . Katika watu wanapitia changamoto na visiki vingi basi ni wafanyabiashara . Muda wote anaumiza kichwa.
 
Huyu jamaa namkubali kinoma,

Many times wenye madegree yao ndio wanatuangusha na kuiangamiza nchi
 
Siku zote sheria za protectionism huwa zinaharibu Sana uchumi na haya yote yalitungwa enzi za mwendazake,Dunia hii imebadilika tuache soko lipange bei.

Ona sasa hayo ya matreka unawapa watu wa serikali wanafanya wizi wakati unge float tender na kutoa specifications wafanyabiashara wenyewe wangeleta vitu Bora..
Kumbe akili unazo sometimes!
 
Hizo trekta ni kituko. wakati nafanya tafiti ya kununua trekta. Muuzaji wa Ursus alinishauri nisinunue hizo trekta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wassira ana la kujibu, Ila kwa kuwa. Tanzania Kuna mazombi basi leo hii wassira anaonekana mzee mwenye busara sana
 
Mafuta ya Russia yanarandaranda bahari kuu hamna wanunuzi- hofu ya kukiuka masharti ya vikwazo iliyowekea urusi inazuia nchi nyingi kununua mafuta ya Vladimir dikteta Putin.
But the point remains kuwa Putin kautikisa uchumi wa dunia..
 
Ole wako Mmarekani ajue umeenda kununua mafuta Urusi, nakuambia utayarudisha ulikoyatoa mwenyewe,
😀😀😀😀 nimecheka kinoma .
🇺🇸🇺🇸 akikusikia umenunua wese LA 🇷🇺🇷🇺. Nakwambia utakipata cha mtema kuni. Yaani
utakula kilichomshinda njiwa .
Lakini cha ajabu yeye US ananunua mpaka muda huu hukohuko RUSSIA😂😂😂😂😂😂😂.
wanasema Baba akikomba mboga haimaanishi na watoto nao wakombe.
 
Sikiliza hiyo video yote, Kuna watu wanauza mafuta robo ya Bei ya dunia ya sasa
Rassia ameingia mkataba na India pipa moja ni usd 35. Unaambiwa haijawai tokea kwa miongo miwili. Sasa india imepigwa bit na US kuhusu huo mkataba. Sasa kitachotokea ni kwamba India ndio Itakuwa mzalishaji wa mafuta na kuanza kutuuzia kwa bei ghali. Yaan watu wanachukua fursa kwenywe matatizo. Hungary pia wamesema wao kuanza wanataka hayo mafuta na watanunua kwa ela ya urusi rubles kabisa.
 
Ndio mjue matatizo mengi ni ya kujitakia tuu, vitu kama sukari, mafuta ya kula, umeme ukiangalia vizuri kwanini havipatikani na ni bei kubwa ni huu upuuzi wa monopoly na ujinga wa vibali maalum, tumekuwa watumwa na maskini kwa visheria tulivyojiwekea wenyewe na vimewekwa pale kwa kwa maslahi ya watu fulani sio kusaidia wananchi, matatizo mengi tunaweza solve overnight kwa kubadilisha policy tuu
 
Huyu jamaa namkubali kinoma,

Many times wenye madegree yao ndio wanatuangusha na kuiangamiza nchi
Katika wafanyakazi wa serikali ambao wana low profile ni kada ya ualimu.!!!! . jambo la kushangaza ni kuwa Tanzania imewahi kuongozwa na WAALIMU WAWILI 😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
though academically I 'm a teacher (physics/maths). mm sijawahi kuamini kuwa mwalim anaweza kupewa majukumu ya kuendesha nchi na mambo yakaenda sawa.
Ndo Yale yakuanza kuambiana .....tufunge mikanda 😀😀😀, Mara ngoja nijenge kwanza barabara
😂😂😂😂.
 
Mfumo wa ‘bulk procurement’ auna tofauti yeyote na uagizaji wa mtu mmoja mmoja.

Unapewa tender kutokana na lowest bid ya kununua mafuta so ushindani upo palepale.

Tofauti ni kwamba kwenye bulk procurement na mtu mmoja mmoja kujiagizia, ili ushiriki kuna vigezo vigumu ambavyo lazima ukidhi for good reasons.

So it’s competitive kwa wenye experience na mitaji, uwezi kuwacha commodity sensitive kama hiyo iendeshwe kiholela holela wakati madhara yake makubwa. Bulk procurement inaondoa riff raffs kama hakina Shabiby wanaodhani unaweza jinunulia mafuta ya magendo.

Ununuzi wa mafuta sio swala la papo kwa hapo you have to place your order well in advance na inabidi uwe na uwezo wa kumaliza contract ya manunuzi, uwe na mtaji wa kuweza kuongeza volume serikali ikikupa tender kubwa zaidi and it’s open competition kwa wenye vigezo.

Sasa aina maana experienced buyers wote hao wanaoshiriki kwenye bulk procurement awajui wakitaka mafuta raisi Iran kwa sasa can provide them with cheap refined oil au Russia leo; na kama wanaweza refine wenyewe Venezuela is even cheaper. Kasheshe Tanzania ikubali kutumia hayo mafuta ya nchi zenye vikwazo kwa kujua au kuto kujua waone mziki wake wa ku support bidhaa zilizowekewa vikwazo.
 
Kama Hitler au Osama alivyoutikisa
You are watching too much cnn,bbc,sky news,cbs news,fox news and many more western mainstream media...
NIngekuwekea udikteta na mauaji ya marekani afrika na sehemu nyingine duniani lakini huo ni mjadala wa siku nyingine...
 
Siku zote sheria za protectionism huwa zinaharibu Sana uchumi na haya yote yalitungwa enzi za mwendazake,Dunia hii imebadilika tuache soko lipange bei.

Ona sasa hayo ya matreka unawapa watu wa serikali wanafanya wizi wakati unge float tender na kutoa specifications wafanyabiashara wenyewe wangeleta vitu Bora..

Utakufa aisee kwa chuki za jpm . Sheria jpm ameikuta inafanya kazi wew unasema jpm ndo katunga
 
Katika wafanyakazi wa serikali ambao wana low profile ni kada ya ualimu.!!!! . jambo la kushangaza ni kuwa Tanzania imewahi kuongozwa na WAALIMU WAWILI 😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
though academically I 'm a teacher (physics/maths). mm sijawahi kuamini kuwa mwalim anaweza kupewa majukumu ya kuendesha nchi na mambo yakaenda sawa.
Ndo Yale yakuanza kuambiana .....tufunge mikanda 😀😀😀, Mara ngoja nijenge kwanza barabara
😂😂😂😂.

Hahhaaa 😃 siku zote wasio na elimu hufanikiwa
 
😂😂 kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa...."Only in Tanzania "👇👇👇👇

Sababu nyingi zinaweza kusababisha mshtuko wa bei ya mafuta. Zinajumuisha mabadiliko makubwa katika mahitaji au usambazaji popote ulimwenguni, kwani mafuta ni bidhaa ya kimataifa.
Mishtuko pia inaweza kutokana na;
●vita,
● mapinduzi ,
●vipindi vya ukuaji wa haraka wa uchumi katika mataifa makubwa yanayoagiza bidhaa kutoka nje,
● matatizo ya ndani katika nchi wasambazaji bidhaa, kama vile migogoro ya kisiasa au ukosefu wa uwekezaji katika sekta ya mafuta.
 
Kama Marekani ni udikteta, dunia nzima ni udikteta, Jiwe aachwe apumzike.

Back
Top Bottom