kama nchi mkitaka mafanikio ni lazma muwe na kiongozi mwenye mafanikio hasa kibiashara. Hamuwezi kukurupuka tu mkamkabidhi nchi mchunga ng'ombe ....!!!!.πππππ . Katika watu wanapitia changamoto na visiki vingi basi ni wafanyabiashara . Muda wote anaumiza kichwa.Shabiby huwa anaongea point sana.... baada ya SSH kustaafu, nashauri huyu jamaa wampe nafasi ya kugombea urais,
kama nchi mkitaka mafanikio ni lazma muwe na kiongozi mwenye mafanikio hasa kibiashara. Hamuwezi kukurupuka tu mkamkabidhi nchi mchunga ng'ombe ....!!!!.πππππ . Katika watu wanapitia changamoto na visiki vingi basi ni wafanyabiashara . Muda wote anaumiza kichwa.
Kumbe akili unazo sometimes!Siku zote sheria za protectionism huwa zinaharibu Sana uchumi na haya yote yalitungwa enzi za mwendazake,Dunia hii imebadilika tuache soko lipange bei.
Ona sasa hayo ya matreka unawapa watu wa serikali wanafanya wizi wakati unge float tender na kutoa specifications wafanyabiashara wenyewe wangeleta vitu Bora..
Sikiliza hiyo video yote, Kuna watu wanauza mafuta robo ya Bei ya dunia ya sasaNionyeshe hapo kwenye kushuka bei kwa 50% mimi sijapaona nadhani miwani yangu ina tatizo
Wassira ana la kujibu, Ila kwa kuwa. Tanzania Kuna mazombi basi leo hii wassira anaonekana mzee mwenye busara sanaHizo trekta ni kituko. wakati nafanya tafiti ya kununua trekta. Muuzaji wa Ursus alinishauri nisinunue hizo trekta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
But the point remains kuwa Putin kautikisa uchumi wa dunia..Mafuta ya Russia yanarandaranda bahari kuu hamna wanunuzi- hofu ya kukiuka masharti ya vikwazo iliyowekea urusi inazuia nchi nyingi kununua mafuta ya Vladimir dikteta Putin.
Ila we jamaa comment zote hizo juu umeiona hiyo? Utakua una shida,Kwaiyo hizo wizara wangewekwa wakristo hapo ingekuwa sawa, au wangewekwa wasukuma wenzio is okay?! Nyie mb..wa mna matatizo sana
ππππ nimecheka kinoma .Ole wako Mmarekani ajue umeenda kununua mafuta Urusi, nakuambia utayarudisha ulikoyatoa mwenyewe,
Rassia ameingia mkataba na India pipa moja ni usd 35. Unaambiwa haijawai tokea kwa miongo miwili. Sasa india imepigwa bit na US kuhusu huo mkataba. Sasa kitachotokea ni kwamba India ndio Itakuwa mzalishaji wa mafuta na kuanza kutuuzia kwa bei ghali. Yaan watu wanachukua fursa kwenywe matatizo. Hungary pia wamesema wao kuanza wanataka hayo mafuta na watanunua kwa ela ya urusi rubles kabisa.Sikiliza hiyo video yote, Kuna watu wanauza mafuta robo ya Bei ya dunia ya sasa
But the point remains kuwa Putin kautikisa uchumi wa dunia..
Katika wafanyakazi wa serikali ambao wana low profile ni kada ya ualimu.!!!! . jambo la kushangaza ni kuwa Tanzania imewahi kuongozwa na WAALIMU WAWILI πππππππππ.Huyu jamaa namkubali kinoma,
Many times wenye madegree yao ndio wanatuangusha na kuiangamiza nchi
You are watching too much cnn,bbc,sky news,cbs news,fox news and many more western mainstream media...Kama Hitler au Osama alivyoutikisa
Siku zote sheria za protectionism huwa zinaharibu Sana uchumi na haya yote yalitungwa enzi za mwendazake,Dunia hii imebadilika tuache soko lipange bei.
Ona sasa hayo ya matreka unawapa watu wa serikali wanafanya wizi wakati unge float tender na kutoa specifications wafanyabiashara wenyewe wangeleta vitu Bora..
Katika wafanyakazi wa serikali ambao wana low profile ni kada ya ualimu.!!!! . jambo la kushangaza ni kuwa Tanzania imewahi kuongozwa na WAALIMU WAWILI πππππππππ.
though academically I 'm a teacher (physics/maths). mm sijawahi kuamini kuwa mwalim anaweza kupewa majukumu ya kuendesha nchi na mambo yakaenda sawa.
Ndo Yale yakuanza kuambiana .....tufunge mikanda πππ, Mara ngoja nijenge kwanza barabara
ππππ.
You are watching too much cnn,bbc,sky news,cbs news,fox news and many more western mainstream media...
NIngekuwekea udikteta na mauaji ya marekani afrika na sehemu nyingine duniani lakini huo ni mjadala wa siku nyingine...