Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

Siku zako za muendelezo wako na genge lako la exeter hall la ukoloni mamboleo linafikia tamati.

Utashindwa tu na Uhasama wako.
 
Wanataka watuletee mafuta yasiyo na quality. zaidi zaidi watalketa mafuta mabovu waliyonunua vichochoroni na kutuuzia kwa bei ya soko.
Kwani si kuna mamlaka ya kusimamia bidhaa hiyo! Kwa hiyo waruhusiwe tu lkn mamlaka ya kusimamia itakuwa inakagua.
 
Ushauri mzuri sana.
 

Kilo ya Nyama 10,000/= Ng'ombe nao wanatoka Russia?​

 
Huyu Shabibi ni kabila gani? haya ndiyo majangili ya nchi yetu
 
Mazingaombwe mengine ya Bunge la chama kimoja nayo ni shida tupu...waliruhusu bomba
Sasa bomba la mafuta la kutokea UGANDA la nini?
Mawese?
... huko sasa mnataka kuwauzia matanki kivukoni!
What a waste ya tax payers money
 
Sera zote mbovu za magufuli inafaa zifukiwe kaburini kabisa, uuagizwaji wa pamoja ndo nn sasa, mafuta waiachie sekta binafsi
 
Hili la mafuta lingenikuta nimeshaanza zalisha mafuta mbadala ningepiga pesa nyingi Sana ndani ya mda mfupi
 
Siku zako za muendelezo wako na genge lako la exeter hall la ukoloni mamboleo linafikia tamati.

Utashindwa tu na Uhasama wako.
Maskini wa akili na mali huwa mnaojifariji Sana kwa mihemko,hamnaga facts πŸ˜„πŸ˜„.

This is what we call "sunk cost fallacy" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hali ya sasa ya dunia haitasaidia chochote.

Angalia kwanza unayeshindana naye LEO huko kwa wenye mafuta.

Shabiby amekariri!
Umemsikiliza kwanza?
Kwenye hoja yake anasema huko kwenye maji ya kimataifa kuna meli kibao kutoka nchi zenye vikwazo. Huuzia huko huko baharini. Tena kwa bei chini ya robo ya soko la dunia.


Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo bhana siyo Mohammed Shabib anaitwa Ahmed Shabiby
Unajadili hoja ya mtoa mada au unaangaika na majina ya watu.jina litakusaidia nini wewe kwakati unaona hoja iliyotolewa ina mashiko.acha kuangaika na vitu vifogo vidogo visivyo na maana katikati ya mambo ya msingi.
 
Umemsikiliza kwanza?
Kwenye hoja yake anasema huko kwenye maji ya kimataifa kuna meli kibao kutoka nchi zenye vikwazo. Huuzia huko huko baharini. Tena kwa bei chini ya robo ya soko la dunia.


Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo anataka kutuletea mafuta ya uharamia?

Hawa wamechakachua sana mafuta na kusababisha serikali ipandishe bei ya mafuta ya taa ili kuwadhibiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…