Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Sio mara zote wewe hua sahihi na haitowahi kamwe kutokea ukawa sahihi mara zote

But mara nyingine hua una madini mfano leo umeongea ukweli kabisa
 
Ni kweli mzee Ila akiingia nyumba ambayo Kuna mwanamke alikufa na ako na watoto wakubwa asipokuwa disciplined hakuna rangi ataacha kuona ndo Hawa kina jack, Viki na wengine kibao
 
Kwahiyo vijana moto,wa baba moto,vizee moto🥹

Alafu wazee unaambiwa wanawivu mkali sana.
Picha linaanza kabla hajakuoa atakupa kila utakacho.
Akikuweka ndani atakuambia huna haja ya kufanya kazi. Wewe ni malkia, sijui ua blablabla! Wewe bichwa hilo.

Unapewa pesa. Baada ya mwaka hivi. Connection yako ya kazi itakuwa imeshakufa. Then anaanza kupunguza pesa na maneno ya kejeli yanafuata.

Aiseeh! Kuna stori ukiambiwa utacheka sana.

Wazee hawakupigi ila wanajua namna ya kukunyorosha
 
Ni kweli mzee Ila akiingia nyumba ambayo Kuna mwanamke alikufa na ako na watoto wakubwa asipokuwa disciplined hakuna rangi ataacha kuona ndo Hawa kina jack, Viki na wengine kibao

Sahihi kabisa.

Hapo mwanaume ndio itampasa atenganishe hizo familia.
Kwa sababu ukiwa na wake watatu jua unafamilia tatu.

Kosa tunalofanya wanaume ni kufikiri unaweza kuwa na familia moja kwa wake Watatu. Kitu ambacho hakipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…