Uje na madolaliI'm on my way mama angu kipenzi nikupendae natamani nipae tu fyaaa nijikute hapo kwenye sofa🥰
Leo amka kumekucha,Uje na madolali
Uje na Mi wine ya huko nje na sigara
Uje na madini yalopita kwenye mashine za kisasa almasi yenye kito cha rubby iwe full cheni, hereni na bracelet.
Usisahau dhahabu iwe full hizi ntavaa nikiwa nakuchomea nyama
Niletee mikoba ya madesigner wakubwa huko bila kusahau high heels.
Gari jamani Toyota discovery itanifaa huku maporini maana Ina four wheelers.
Hebu wahi baba uje unikomboe!!!! Mume kutoka mambele mbona watanikomaa mashosti
Vyote hivyo nimebeba mama angu kipenzi kasoro tu high heels zisije kukuvunja miguu malaika wangu,Uje na madolali
Uje na Mi wine ya huko nje na sigara
Uje na madini yalopita kwenye mashine za kisasa almasi yenye kito cha rubby iwe full cheni, hereni na bracelet.
Usisahau dhahabu iwe full hizi ntavaa nikiwa nakuchomea nyama
Niletee mikoba ya madesigner wakubwa huko bila kusahau high heels.
Gari jamani Toyota discovery itanifaa huku maporini maana Ina four wheelers.
Hebu wahi baba uje unikomboe!!!! Mume kutoka mambele mbona watanikomaa mashosti
Kuwa na adabu dogo unatoa busu la nini🤣
Uje na madolali
Uje na Mi wine ya huko nje na sigara
Uje na madini yalopita kwenye mashine za kisasa almasi yenye kito cha rubby iwe full cheni, hereni na bracelet.
Usisahau dhahabu iwe full hizi ntavaa nikiwa nakuchomea nyama
Niletee mikoba ya madesigner wakubwa huko bila kusahau high heels.
Gari jamani Toyota discovery itanifaa huku maporini maana Ina four wheelers.
Hebu wahi baba uje unikomboe!!!! Mume kutoka mambele mbona watanikomaa mashosti
Ok okKwa wengine naweza nisiwe sahihi hata mara moja🤓😀
Ila kwangu ninakuwa sahihi mara zote😆
Nisamehe kwa mtazamo wangu huo. Mwaah😮
Pole you!Duh ninavyopenda wababa mimi🙆🏽♀️
Nimevuka huko et nisikie naitwa mrembo nshtuke 😅Taratibu mrembo usianguke uje upate majeraha roho yangu ianze kuniuma 😁
my lady hapo inasound vipiNimevuka huko et nisikie naitwa mrembo nshtuke 😅
Mubaba nipo hapa at my 44.Duh ninavyopenda wababa mimi🙆🏽♀️
Wahuni nao huzeeka,Sasa Mzee kasharuka vihunzi kama vyote,anakuchezesha vile anataka.Alafu wazee unaambiwa wanawivu mkali sana.
Picha linaanza kabla hajakuoa atakupa kila utakacho.
Akikuweka ndani atakuambia huna haja ya kufanya kazi. Wewe ni malkia, sijui ua blablabla! Wewe bichwa hilo.
Unapewa pesa. Baada ya mwaka hivi. Connection yako ya kazi itakuwa imeshakufa. Then anaanza kupunguza pesa na maneno ya kejeli yanafuata.
Aiseeh! Kuna stori ukiambiwa utacheka sana.
Wazee hawakupigi ila wanajua namna ya kukunyorosha
Basi sawa.Wahuni nao huzeeka,Sasa Mzee kasharuka vihunzi kama vyote,anakuchezesha vile anataka.
Ukitoka out unalipa cash au kwa card au kwenye simu?my lady hapo inasound vipi
Na swipe tu cardUkitoka out unalipa cash au kwa cad au kwenye simu?
Sawa Mzee.Basi sawa.
🤣🤣🤣Na swipe tu card
😀 kuna lingine
Niache bhana😅😀 kuna lingine