Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

Wewe mbona huoni fahari kuhudumia mkeo na watoto unataka hadi mkeo akusaidie hilo jukumu ukizingatia ndilo jukumu pekee ulilonalo, mnachonishangaza huwa mnataka wanawake waone fahari kufanya majukumu yao ila ninyi hamuoni fahari kufanya yenu yani hata ninyi majukumu yenu huwa mnayaona mzigo, huwa mnayatafutia visingizio mara sijui wanawake hawana upendo wanaingia kwenye ndoa kwa lengo la kupata unafuu wa maisha kumbe ni ninyi tu ndio mnajaribu kukwepa majukumu yenu
 
Enzi za mwanamke kuhudumiwa kila kitu na mwanaume zilishapita kitambo Sana.

Siku hizi Kuna kitu kinaitwa " collective responsibility" yaani mume na mke wanasaidiana majukumu japo mwanaume anaplay role kubwa.

Mleta mada acha kupotosha.
 
Kuzaa na kunyonyesha wewe unacompensate vipi???
 
We mwamba nakuelewaga sana.. mkeo na watoto wako wa kike wamebarikiwa
 
Enzi za mwanamke kuhudumiwa kila kitu na mwanaume zilishapita kitambo Sana.

Siku hizi Kuna kitu kinaitwa " collective responsibility" yaani mume na mke wanasaidiana majukumu japo mwanaume anaplay role kubwa.

Mleta mada acha kupotosha.
Hakika umenena uhalisia...

Mwanaume anaplay role kubwa kwenye mambo ya kiuchumi kwa ustawi wa familia na kuweka misingi ya namna gani familia iishi

Mwanamke anaplay role kubwa kwenye malezi ya day to day ya familia na kuhakikisha ile misingi ya familia inafatwa day to day
 
I've never forced her to contribute but she's proud to do so.
You must be doing something right my brother....
Be blessed, ndoa inatakiwa kuwa safe space kwa me na ke
 
I think jamaa anajaribu kuhighlight kuna wale wababa wapo too entitled in a way that, majukumu ya familia ya kiuchumi mnabeba wote since wote mnafanya kazi

Ila majukumu ya mama ya kinyumbani yanabaki ya kwake regardless kuna dada au hamna, hapo kunakua hamna usawa. Sababu kuna zile attitude kwamba nacheat sababu dada wa kazi ndo ananihudumia sipati care from my wife. While ni kitu cha kuwa mwelewa na kukaa pamoja kuona namna gani majukumu hayaovershadow physical& emotional needs za kila mmoja

Cha pili point ya msingi ni kwamba, as much as men want women to be proud kufanya majukumu ya nyumbani basi na wao should be equally proud kuhudumia familia bila kuona kwamba wanamsaidia mwanamke
 
Nionyeshe wapi nikasema sioni fahari kuprovide kwa familia. Yaani kuhudumia familia likawa mzigo kwa baba, sio kweli. Tunaongelea contribution ya mama kwenye familia yake, providing ni jukumu la baba contribution ni muhimu kwa mama hasa kwa kipindi huki ambacho uchumi hautegemei jembe kama zamani.
 
Kuzaa na kunyonyesha wewe unacompensate vipi???
Wanaume hatuwezi kuzaa na kunyonyesha, je wewe hauwezi kufanya kazi na kujihudumia mahitaji yako mwenyewe? utakua mjinga kutumia tofauti za kibaiolojia kuhalalisha mwanaume kugharamia kila kitu, kwani hao wanawake wa japani aliongelea jamaa kule juu wao wanasaidiana kubeba mimba na mwanaume miezi 4.5 kila mmoja? Vipi kama mwanaume hana mpango wa kuzaa na wewe au ukiwa mgumba je hitaji la mwanaume kukuhudumia linaondoka?. Kuna mambo ambayo jinsia moja haiwezi kuyafanya utaratibu uendelee kama ulivyo lakini mambo ambayo jinsia zote zinawaweza kuyqfanya hapo ndipo tunaweza ku-apply 50/50, leo hii ikitokea vita mwanaume ndio anaenda kwenye uwanja wa mapambano, je tukisema nanyi muende ili kuwe na 50/50 mnayoitaka mtakubali?
 
Yawezekana huna akili na pia huna mke
Ungekua na akili timamu ungeelewa kwamba ukiwa na mke muda wa uzazi na muda wa kunyonyesha hawezi kufanya kazi sawa sawa na mumewe (achana na hizo 9-5 kind of jobs pay ni constant)

Pia hawezi tu kuamka asubuhi akataka kwenda kusoma ili walau mshahara upande bila kuangalia welfare ya watoto hapo nyumbani

Lakini wewe muda wowote, wakati wowote opportunity ikija huna kikwazo chochote

Haya wewe ambae 365 days a year huna kikwazo chochote cha kibaiolojia unamcompensate vipi huyo mtu????

Huko kwenye 50/50 kuna tabu kibao ambazo mkiletewa ninyi wala hamuwezi kuvumilia

Acha kutafuta ajira, katafute akili ya kung'amua mambo madogo madogo kwanza

Soma kimyakimya sababu sitosoma majibu yako wala kukujibu.... stupid
 
Okay kama wewe huoni ni mzigo and you are proud then good for you, lakini wanaume wengi wanaona hivyo, na wengi husema hiyo ndio sababu kubwa ya wao kutokuoa
 
Okay kama wewe huoni ni mzigo and you are proud then good for you, lakini wanaume wengi wanaona hivyo, na wengi husema hiyo ndio sababu kubwa ya wao kutokuoa
Na wewe unayeona ni mzigo kwa mwanamke kuingia jikoni, that's very awkward...especially when it comes from a lady! Jikoni ni mahali ya kuheshimika, milki ya mama, ufundi wake unaanzia huko na kuishia bedroom, sasa kama hana ufundi wa jikoni anawezaje kuhandle "bedtime stories"!

Mwanaume anayeona hawezi kubeba jukumu la kulea familia ni bora asioe, lakini pia asizalishe ovyo(kuleta jamii isiyo na malezi bora), lakini pia asijihusishe na ngono..si ameamua kuwa kataa ndoa! Kukataa kuoa haiishii kwenye mkataba, goes as far as abstinence, akifanya hivyo huyo kweli kataa ndoa, lakini kama kila siku busy kubadilisha vyupi, huyo anakimbia majukumu tu.
 
Mwanaume kushindwa kufanya hayo majukumu ya kibaiolojia haimaanishi kwamba ndio yasiwe considered lazima yahesabiwe kwa sababu yanaconsume time na energy ya mwanamke, by the way mbona hata hayo majukumu ambayo siyo ya kibaiolojia ya kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto bado hamyataki pamoja na kwamba mna uwezo wa kuyafanya, mambo ya vita sijui kuvamiwa na vibaka hizo ni uncertainties na they are not likely to happen in daily life kwahiyo hazitakiwi kuwa included kwenye daily activities maana kuna watu wengi tu toka wanazaliwa hadi wanakufa uzeeni hawakutani nayo hayo maswaibu
 
Hapana mwanamke kufanya majukumu ya mwanaume ndio mzigo mimi hoja yangu ni kwamba mwanamke majukumu yake ni ya nyumbani in the first place, ukishaanza kutaka akusaidie ya kwako hapo sasa ndipo lazima iibuke hoja ya kusaidiwa na yeye majukumu yake, tofauti na hapo mwanamke ndiye atakuwa anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume (leader) something which is considered unfair to someone labeled as merely a helper and a weak creature
 
Nyumba zina wasaidizi Jadda, sasa hayo majukumu ya kumzidi yako wapi kama tayari kuna mdada anayefanya kila kitu, yeye akirudi anapika chakula kitamu for her hubby, kuna shida?

Kuna kitu unataka kusema hapo, ila sijajua hasa ni nini..wamama wakirudi kazini wakae sebuleni wasifanye kitu, si ndio?

Mwanamke akitaka kupewa kila kitu, alee na kufanya majukumu kama mke, basi asitoke nje kuajiriwa, atahudumiwa 100%( though kwa sasa ni me wachache wenye ukwasi wa kutosha 100%), ila akisema atoke kutafuta, basi atachangia..it is what it is!!
 
Huwa nashindwa kuelewa kwanini mnalazimisha wanawake wafanye vyote ilihali ninyi hamuwezi kufanya vyote, labda nikuulize hivi kinachowafanya wanaume washindwe kufanya majukumu ya nyumbani ni nini, sasa kama mwanamke atakuwa anafanya vyote umuhimu wa mwanaume kwenye maisha yake utakuwa ni upi hapo
 
Mwanaume kushindwa kufanya hayo majukumu ya kibaiolojia haimaanishi kwamba ndio yasiwe considered lazima yahesabiwe kwa sababu yanaconsume time na energy ya mwanamke, by the way mbona hata hayo majukumu
Sawa lakini ni hiyari ya mwanamke mwenyewe akiona hatoweza kujigawa kimajukumu ya utafutaji na kulea anaweza kufunga kizazi zipo njia nyingi tu uzazi wa mpango suala la kuzaa ni maamuzi ya mwanamke maana rwproduction inafanyika tumboni kwake lakini mwanamke akiamua kuzaa basi lazima azikubali na izo consequencies zake na asiitumie iyo mimba kumfanya mwanaume mateka.
by the way mbona hata hayo majukumu ambayo siyo ya kibaiolojia ya kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto bado hamyataki pamoja na kwamba mna uwezo wa kuyafanya,
Hili jambo huwa unalirudia rudia sana katika hali ya ujumuishi wakati sio wote wapo ivyo, binafsi siku nikishinda nyumbani huwa nasaidiana majukumu mengi tu mpenzi wangu, suala la kulea tayari nishamwambia sipo tayari kwa sasa, kwaiyo utakapofika muda tukakubaliana kuzaa basi majukumu ninayomudu kuhusu malezi nitamsaidia lakini katika hili lazima tukubaliane mwanamke ndie atakae-play part kubwa kwenye malezi sana sana mtoto anapokua bado mchanga
Haijalishi ni uncertainity or not ishu ni kwamba inajulikana uko ni kwa wanaume kwaiyo hao ndio watawekwa mstari wa mbele na wanawake watawekwa kando ni kama mambo ya jikoni inajulikana uko ni kwa wanawake ndio maana uwezi kwenda msibani ukakuta wanaume wana pilika pilika za mambo ya kuchambua mchele au kuweka kuni kwenye mafiga. Hivi mzee baba ni huwa hauelewi au unaamua kubisha tu
 
Mkuu mbona unakua mbishi katika mambo yanayoeleweka kabisa. Ni hivi ikiwa mke ni mama wa nyumbani mume atabeba jukumu la ustawi wa kiuchumi kwa 100% na ikiwa mwanamke anatoka kutafuta basi atawajibika kuleta kitu mezani lakini katikati ya izo scenerio mbili kuna kitu kinaitwa gender roles au gender insticts ambazo automaticaly tu zinamuweka kila mmoja katika nafasi yake ikiwa mume ataprovide kila kitu kwa 100% hii haimaanishi kwamba akiwa nyumbani hatowajika kwa lolote kuna majukumu yatahitaji nguvu au ujasiri hapo mwanaume atawajibika hivyo hivyo ikiwa mwanamke atachangia kitu mezani haimaniishi akiwa home atakua kana malkia kuna masuala ya kuakikisha usafi wa nyumba na mambo ya maakuli jikoni yamefanywa ipasavyo na dada wa kazi hapo mke atasimamia shoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…