Na wewe unayeona ni mzigo kwa mwanamke kuingia jikoni, that's very awkward...especially when it comes from a lady! Jikoni ni mahali ya kuheshimika, milki ya mama, ufundi wake unaanzia huko na kuishia bedroom, sasa kama hana ufundi wa jikoni anawezaje kuhandle "bedtime stories"!
Mwanaume anayeona hawezi kubeba jukumu la kulea familia ni bora asioe, lakini pia asizalishe ovyo(kuleta jamii isiyo na malezi bora), lakini pia asijihusishe na ngono..si ameamua kuwa kataa ndoa! Kukataa kuoa haiishii kwenye mkataba, goes as far as abstinence, akifanya hivyo huyo kweli kataa ndoa, lakini kama kila siku busy kubadilisha vyupi, huyo anakimbia majukumu tu.