Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

Mtoto wa kike huyo anaweza tuletea shemeji wa kizungu.
 
Sisi tu tulio hapa wanatutafutia sababu watuue wabaki pekee yao na familia zao waitafune nchi vizuri mbwa hawa.

Sasa balozi kauchuna chuuuh hata kutoa tamko kwa raia wa Tanzania kujihadhari na kinachoendelea huko wamekaa kimya.
 
Umeandika Kwa Uchungu Sana [emoji848]
 
Hii nchi sijui nani katufikisha hapa yaani ukipatwa na tatizo halafu uwe na kipato cha kati walau aisee ni uadui na wasio nacho.


Kwa mzazi lazima apate presha juu ya mwanae. Ila ndo ivo tena ujumbe umeangukia JF yataka moyo!
 
Hawa wasanii wa Bongo movies na Bongo flavour vichwa vyao ni matakataka tupu,sisi raia tunalia kila siku kuuawa,kuporwa uchaguzi,kubambikiwa kesi wao wapo kimya.

,haiwezekani mataifa mengine yanatoa raia wao ninyi mpo busy na kesi ya Mbowe;hata Corvid-19 ilipolipuka nchini China watu wenye fikra chanya walitaka Watanzania wasiojiweza hasa walioenda kimasomo watumiwe ndege lkn,ccm walijibu "sisi hatukumpeleka mtu China"
 
Kumbe hata ninyi wana-ccm kuna muda huwa mnaakili!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…