Binti Rwehumbiza
Member
- Apr 8, 2018
- 16
- 13
Sana aisee watu wana hate mmmhHumu Kuna comments za chuki....watanzania wana wivu asee!
Mtu asitoboe, atakoma siku akipata tatizo!
Kuna hadi wanaowish huyo mtoto apotee kabisa waseme si tulikuambia we monalisa, kiko wapi sasa[emoji26][emoji26] so sad
Kinachonishangaza mtu unapeleka nje mtoto akasome masomo ya arts ya accounting and auditing kweli? Vyuo vyetu kibao vinatoa hizo courseUkraine ni masikini mno yaani unemployment rate ni kubwa mno na lugha yao inawafanya wawe masikini zaidi.
Huyo binti atakuwa anajiuza tu kwenye night club.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawapeleka watoto wao kusoma nje wakirudi wanaishia kuajiriwa mshahara laki tatu [emoji16], afadhali ya housegirl alieajiriwa nchi za kiarabu anakula laki 6 hadi 9 per month.
Humu Kuna comments za chuki....watanzania wana wivu asee!
Mtu asitoboe, atakoma siku akipata tatizo!
Kuna hadi wanaowish huyo mtoto apotee kabisa waseme si tulikuambia we monalisa, kiko wapi sasa[emoji26][emoji26] so sad
Tatizo la watanzania wengi hua wanadhani kila nchi ya huko ulaya ni nzuri na mtu akisoma huko atapata elimu nzuri.
Hawajui kuna nchi za ulaya ambazo ni za hovyo kuliko hata tz na kuliko kwenda huko bora kubaki tu hapa hapa.
Halafu mtu Kaenda kusoma Degree ya accounting and auditing kuna kutoka gani HAPO?Kusoma Ukraine ni kutoboa?
Global link imepeleka maelfu imewapeleka huko kusoma Vyuo ukrainehawapo watanzania wengine wanosomesha watoto huko ukraine au ni huyu msanii tu
Halafu form alifaulu vizuri mnoBinti mwenyewe alitamba hawezi somea chuo cha bongo hivyo wakatafuta cha nje chenye kumkubali fasta wasijepata aibu
Ndio ampeleke Ukraine kusoma Accounting and Auditing? Degree ya hadji ya chini.mno hata akienda soko la ajira aliyesoma hiyo degree Tanzania hadhi iko juu zaidi kuliko huyo wa ukraineLakini si alisema mwanae Hana hadhi ya kusoma TZ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mitoto yao Inafeli shule inashindwa kuwa Adimited UDSM wanaipeleka Zion college za uturuki na Msoma utalii za uturukiMuigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine.
Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya mataifa hayo mawili.
Monalisa ameandika: “Tumbo linanicheza kama mzazi. Ukraine! Hakuna ndege, nampataje mwanangu? Mungu wasimamie watoto wetu.”
Ameandika maandishi hayo katika ukurasa wake wa Instagram akiambatanisha na picha moja ikionyesha moto katika moja ya maeneo inayodhaniwa kuwa ni Ukraine.
Binti huyo, Sonia inaelezwa kuwa anasoma katika Chuo Kikuu cha Sumy State kilichopo katika Mji wa Sumy akisomea kozi ya Uhasibu na Ukaguzi (Accounting and Auditing) kwa kipindi cha miaka minne.
Sonia mwenyewe aliwahi kunukuliwa akisema: "Sababu ya kuchagua kwenda kusoma nchi hiyo ni kwanza wametutangulia kiteknolojia kwa hiyo tunapoenda huko kusoma tunaweza hamisha teknolojia kwa njia ya elimu kuja hapa Tanzania.
"Kitu kingine Ukraine na Urusi ni nchi ambazo zina fursa nyingi za utalii hivyo tunavyoenda huko kusoma ni nafasi yetu kuwaambia Tanzania kuna nafasi nyingi za Uwekezaji, kuna Mlima Kilimanjaro, Tanzanite na mengine mengi ambayo Tanzania tunajivunia," amesema Sonia.
View attachment 2129730
View attachment 2129731
Alifeli hakuwa na sifa za kuwa adimited UDSM kakimbilia Zion college ya uko ukilaneAccount ya Happ kwetu ipo vzr sna na Kama Ni account apate na CPA ya Happ ndani utakuwa vzr aseme tu kuwa amepata ufadhili
Hakana Akili vyuo bora kibao vipo South Africa kameenda collage za ukraineBinti mwenyewe alitamba hawezi somea chuo cha bongo hivyo wakatafuta cha nje chenye kumkubali fasta wasijepata aibu
Kalifeli tu udsm hawachukui boyaLakini si alisema mwanae Hana hadhi ya kusoma TZ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Jide na nani?Niliskia katuma makomando kumuokoa mwanae?
mwana FAJide na nani?
AnawehukaSiku hizi Mona sijuwi kawaje, yaan hadi nishaanza kumdharau msieeew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2133471
Hehehehe [emoji1787][emoji1787]teh teh teh!!!Sio wangu ni wako teh!
Maisha hayaendi bila unafikiWabongo tunajuana kwa unafiki,,
Kaenda piga picha za insta si unajua mambele picha zinakuwaga safi hivi ukichagiza na mibarafu[emoji1787]Halafu mtu Kaenda kusoma Degree ya accounting and auditing kuna kutoka gani HAPO?
Angeenda kusoma nuclear science au aeronautical engineering angalau mtu unasema kaenda kusoma atoboe.Ila degree ya Auditing and accounting !! Mmmm Vyuo vyetu mbona degree hizo zimejaa kibao
Uko sahihi mtoto mwenye akili angeenda south Afrika, Ulaya Magharibi na Marekani sio Ukraine au urusiHakana Akili vyuo bora kibao vipo South Africa kameenda collage za ukraine