Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Yaap kakulia kijijini Machame kaja mjini mtu mzima.Ndio maana ushamba unamsumbua.Alianza kujihusisha na siasa kwa kutaka kugombea na TLP ikasemekana akapewa kidogo ajitoe.Au wewe umemjua Lema akiwa Chadema?
Uongo hautakusaidia chochote
 
Uongo hautakusaidia chochote
Leta huo ukweli.Wewe Lema umemjulia Chadema. Kanusha kwa kusema lipi nililoandika ni uongo.Au ukweli unakupa tabu kws huyo mjinga unayemuita nabii?
 
Leta huo ukweli.Wewe Lema umemjulia Chadema. Kanusha kwa kusema lipi nililoandika ni uongo.Au ukweli unakupa tabu kws huyo mjinga unayemuita nabii?
Hatujibizani na Wajinga
 
Ata Mimi aiseeee siwezi kushika mikono ya makonda ata ungekuwa mzazi wangu nikijua umeua mtu yeyote nakutenga ni bora kuwa fisadi kuliko kutoa uhai wa mtu.hongera saana KAMANDA Lema usimsogelee huyo jamaa ni hatare saana.
 
Kwani mada ilikuwa tunazungumzia nani?Au unahamisha magoli?Mantiki yangu ilikuwa kuwalinganisha Mbowe aliyekulia mjini na Lema aliyekulia kijijini. Tukubaliane kwanza halafu ndio tuendelee na mlinganisho mwingine.

Kama Lema hakumsalimia Makonda unasema ni kwakuwa kaja mjini ukubwani, ndio nikasema Makonda alikuja mjini akiwa na umri gani ili tupime yeye kupeana mkono na Mbowe ni kwakuwa alikuja mjini akiwa na umri gani? Au wote waliosalimiana na Makonda hapo msibani wako mjini toka utotoni?
 
Tulichokuwa tunazungumzia ni Mbowe kusalimiana na Makonda.Makonda hakukataa kusalimiana na mtu hivyo hoja yako ni mfu.Aliyekataa ni Lema ndio nikasema amekulia kijijini ana kaushamba.Hajui kwamba siasa sio uadui ni mielekeo tofauti.Angekataa Makonda ndio ingekuwa valid kumpima ukomavu wake tokea aje mjini.
Lema sio politician ni mwanaharakati.
Hana qualities za kucheza michezo ya siasa. On the other side Mbowe ni politician aliyekomaa kwenye fani yake.
 
 

Attachments

  • IMG-20240217-WA0500.jpg
    169.1 KB · Views: 3

Hongera sana Lema. Hata mimi aiwezi kumpa mkono wangu Makonda kabla hajafanya toba iliyo njema na ya wazi. Vinginevyo ni kujitia unajisi anaotembea nao huyu mtoa roho za watu.

Makonda ni muuaji, na wala hajawahi kujuta, kutubu na kuukana ushetani.
 

Siasa siyo uadui. Lakini muuaji Makonda ni adui wa kila binadamu anayetembea na Roho wa Mungu mpaka siku atakayofanya toba ya kweli.

Makonda ni adui wa kila binadamu wa kweli, isipokuwa wale binadamu bandia wanaobeba roho ya ibilisi shetani.

Amelaanika muuaji huyu, na kila atakayeungana naye wakati huu akiwa bado wakala wa shetani, atalaanika.

Nilikutana na muuaji Makonda kwenye msiba wa Dr Chacha Utegi, nilijitahidi kutokugusana na huyu mtu kwa namna yoyote ile. Na wengi walimkwepa, naye kwa aibu aliamua kuondoka mapema kabla ya taratibu nyingine kukamilika.
 
Mjinga mama yako aliyezaa litoto lisilokuwa na faida.Afadhali baba yako angetumia mkono.
Hivi mnawezaje kuandika lugha kama hizi? Hata kama hatuonekani ila tunaweza kujua wewe umelelewa kwenye familia ya namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…