Morogoro Kusini, Wilaya masikini kuliko zote Tanzania

Kama hujui mazingira ya watu kaa kimya. Hebu nenda Lanzi kwa gari yako suzuki nini sijui ya mkopo kipindi hiki cha mvua, kama hujarudi na vyuma chakavu huko dar unakoishi.
Hiyo inayoenda kulia ndiyo inaelekea tawa na Lanzi ya kushoto inaelekea Mtamba mpaka Kisaki. Haya hata kama ni mjinga wa mwisho, hiyo barabara inapitika mwaka mzima?
 
Attachments

  • 1447345187538.jpg
    58.5 KB · Views: 264
Watajua wenyewe, ndio maisha waliyoamua kuyaishi.

Nimeshafika maeneo ya Duthumi na Mbuyuni.

Hali inatisha.
 
shule......
 
Attachments

  • 1447345796629.jpg
    27.7 KB · Views: 203

Mkuu ebu achana na hilo dubwana maana linatetea tumbo lake kwa hiyo lazma litetee mfumo unao lifanya livune bila kulima
 
Npo matombo kamanda ndipo familia yangu ilipo japo mimi nafanya kazi eneo lingine. Kila wikiend nipo huku. Njoo hapa matombo kaka tuongee vizuri kama utapata nafasi
Kuweni makini wakuu mnaweza kubambikiwa kesi ya kutaka kupindua nchi
kwa kujadili maendeleo yenu tu!
 
Kuweni makini wakuu mnaweza kubambikiwa kesi ya kutaka kupindua nchi
kwa kujadili maendeleo yenu tu!

Siogopi kufa, naogopa kufa nikiwa mjinga na mnyonge kamanda.
 
Na kuna KALIUA, Tabora, wote ni wale wale! Angalau now wamefanya kitu CHA maana!

Si bora tabora unaweza sema elimu ndy tatizo lakni wahaya si ndo wanajifanya wasomi kumbe ni vyeti si akili
 
Si bora tabora unaweza sema elimu ndy tatizo lakni wahaya si ndo wanajifanya wasomi kumbe ni vyeti si akili

Huwa wanajifanya ila hawana elimu yoyote
 
Siogopi kufa, naogopa kufa nikiwa mjinga na mnyonge kamanda.

Vizuri Mkuu maana mwenzio nina kesi ya kufanya Vurugu siku ya matokeo
hali ya kuwa nimekatwa wakati narejea kutoka kijijini lakini Tunawashukuru watu
wa CUF wilaya kwa kutusaidia mpaka tumepata dhamana.
 
Du pole sana kamanda. Wapi hiyo!?
 
Du pole sana kamanda. Wapi hiyo!?
NEWALA mkuu mbunge wa UKAWA kashinda lakini wakaamua kumtangaza
MKUCHIKA wa CCM na kwa madiwani ni ukawa madiwani 11 CCM ni 5
tunataka kuiona serikali ya magufuli kama itatenda haki kwa kuturudishia
mbunge ambaye ni chaguo letu kwani kesi iko mahakamani.
 
Takwimu za NEC zinaonesha hilo pia ndio jimbo pekee lililoharibu kura NYINGI kuliko majimbo yote Tanzania.

Kwa kuongezea tu ni kwamba jimbo liliharibu kura chache kushinda yote ni kilindi Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…