Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Lakini hajalazimishwa mtu. Kama mtu anajijua hali yake ni bora akatafute nyumba inayoendana na hali yake. Kwa nini mtu akatafute kupanga nyumba ambayo mwisho wa siku itamshinda malipo kana kwamba kulikuwa hakuna nyumba zinazofaa yeye kuishi?Bongo sekta ya upangishaji nyumba imekaa kiduwanzi sana, mtu anataka malipo ya miezi sita wakati wafanyakazi karibia wote wanalipwa kwa mwezi, wiki au siku! Ni uhovyo tu ila ndio sekta huria hii kila mtu anafanya anavyoona inamfaa na mali yake.
Nyumba za kupanga ni Biashara kama ilivyo kwa Biashara nyingine. Mwenye Biashara yake ndo anayepanga bei na utaratibu wa malipo. Sijawahi ona mtu unaenda buchani halafu unaambiwa kg. 1 ni Tzs 8,000/= halafu wewe mnunuzi unachukua kisu na kuanza kujikatia kg.1 pale unapopapenda.