Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
kwa mpira, mkoa wa kigoma-waha na wamanyema ndiyo wanaoongoza. labda wewe umezaliwa juzi juzi tu hao akina kapombe hawajawafikia akina makumbi Juma, Lunyamili, abeid mziba, said swed "scud" etcMkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo. Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe , twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k. Huwezi kwa sasa Tanzania kuulinganisha mkoa wa morogoro kwenye burudani na michezo na mkoa wowote ule hata kigoma bado ipo mbali na itasubiri kwa morogoro View attachment 2365081