Kweli umeeishi hapaNaupenda huu mkoa pia ila una majanga yake fulani,
1. Una ajali za barabarani nyingi
2. Hukumbwa na mafuriko
3. Wananchi wake wamepooza mno, nahisi mwamko wa elimu uko chini
4. Mapigano ya wakulima na wafugaji
5. Uhaba wa maji.
Dadeki walai mm hyo pub ndio kiwanja Changu yaani mm nakah kionda vetaNiko Wallet Pub, Kihonda, nasoma comments zenu hapa.. [emoji23]
Typhod ndiyo nyumbani kwakeNaupenda huu mkoa pia ila una majanga yake fulani,
1. Una ajali za barabarani nyingi
2. Hukumbwa na mafuriko
3. Wananchi wake wamepooza mno, nahisi mwamko wa elimu uko chini
4. Mapigano ya wakulima na wafugaji
5. Uhaba wa maji.
PopomaUkiona hadi GENTAMYCINE anaishi huu Mkoa jua si tu ni mzuri bali Umebarikiwa pia. Ni kweli Morogoro ni Mkoa mzuri mno.
Hahahaaaa wewe jamaa bwege sana nimecheka sanaNapapenda zaidi Morogoro kwa kuwa hata kupatikana kwa Mademu wa 'Kuwabandua' ni rahisi kuliko Mikoa mingine yote.
Hongereni!! Mimi sio mkazi wa hukoLabda wewe sisi wengine tumefanukiwa kwa biashara hizo hizo
Maendeleo ya Kitaifa( Kipato Cha Wananchi wake / Mikoa Tajiri), 1. Dar, 2. Kilimanjaro, 3. Njombe, 4. Morogoro, 5. Songwe, 5. Pwani,
Nikajua ni mimi peke yangu ndiyo mpenzi wa milima ya MoroView attachment 2275601hii milima sijawahi kuichoka,Kila nikija Moro hua nashangaa upya na kua appreciate uumbaaji wa mungu..it's relaxing and the serenity in these mountain is breathtaking
Mkeo......!!Popoma
Nakubaliana nawe tena kwa 100% zote. Nami nasema ukihamisha SUA na Mzumbe Wapiga Punyeto tutafufuka.Comments za humu ni za watu wa Dar. Tuliosomea Moro tunajua shida za Maji na typhoid. Ukihamisha SUA na MZUMBE ujue umeiua Morogoro.
Shida ya maji ni tatizo mtambuka Tanzania yote hata Dar mimi nimeishi mikoa yote miwili tangu udogo wangu lakini nikiri shida ya maji ya Morogoro ni afadhali ile ya Dar,tuulize sisi tuliokulia mitaa ya kuanzia Kimara Ubungo,Sinza,Tandale ilikuwa ni kawaida sana maji kukaa wiki mbili bila ya kutoka...watu wa maeneo ya Kivile,kitunda na Pugu hawajui maji ya bomba yanafananaje..incase you dont know maji yanayonyweka Dar ni ya mto Ruvu ambayo chanzo chake ni milima ya Uluguru MorogoroComments za humu ni za watu wa Dar. Tuliosomea Moro tunajua shida za Maji na typhoid. Ukihamisha SUA na MZUMBE ujue umeiua Morogoro.
Oya taratibu basi na hizi Picha zako za Mkoa wa Morogoro kwani unaelekea sasa Kuonyesha maeneo ambayo tupo kwa sasa.Nikajua ni mimi peke yangu ndiyo mpenzi wa milima ya MoroView attachment 2275828View attachment 2275829View attachment 2275830View attachment 2275831View attachment 2275833View attachment 2275834View attachment 2275839View attachment 2275840
Fika Morogoro pale Msamvu stend uone watu walivyochangamka halafu fika stend ya nanenane dodoma uone watu walivyopoozapooza utapata picha fulani hivi kichwani,hapo bado haujapewa stress na vumbi la DomSawa mkude lakini mji wenu siusomi unazidiwa hata na udom
Ukiumwa sio mbali na Dar???? wewe unaongelea morogoro mjini au?Huku ni pazuri Kwa kustaafu, shughuli za kilimo na ufugaji sio tatizo. Ukiumwa Sio mbali na DSM kuwahi matibabu
Hajasema kusini lakin.. masaa 3 tu dar ushafikaUkiumwa sio mbali na Dar???? wewe unaongelea morogoro mjini au?
Unajua kuwa morogoro ndio mkoa mrefu zaidi kwenda kusini kuliko yote
Namaanisha Unaweza kusafiri kuelekea kusini masaa 12+ ndani ya mkoa, huo ukaribu ni upi?
Na pia mjini Moro; Joto kama dar au Zaidi nimelala pale mara kadhaa; ila ukianzia kilombero kwenda Kusini ndio hali nzuri ya hewa na mito
Japo Kiujumla ni mkoa mzuri
Hivyo vyuo vipo pembeni ya mji kabisa hata wanafunzi wamepanga huko ni ngumu kuwaona kati kati ya mjiComments za humu ni za watu wa Dar. Tuliosomea Moro tunajua shida za Maji na typhoid. Ukihamisha SUA na MZUMBE ujue umeiua Morogoro.
Hajasema kusini lakin.. masaa 3 tu dar ushafika