Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

umeeleza vizuri ko una kili huyu jamaa ni tapeli
 
Huyo Hans pope umafia hajaanza Leo.
Kwenye game kitambo.
 
Reactions: Tui
Hii ni habari nzuri kwa washabiki wajinga wa Simba. Mimi kama shabiki imara wa Simba sishabikii Morrison kuja Simba. Morrison ni LAANA kwa viongozi wote wa Simba waliomleta kwenye Klabu yetu.

Kaanzishe Timu yako isiyokuwa na Morrison
 
Reactions: Tui
Mwanjala anyooshe kauli,sio tunampa faida Morrison mkataba una mapungufu,aseme VYURA WAMEGUSHI MKATABA MORRISON KASHINDA KESI,hapo anajribu kuikwepesha yanga na adhabu ya utapeli wa kughushi nyarakaaaaa
 
TFF inajulikana ni tawi la simba, Simba wamekuwa mabingwa kwa kubebwa na marefa, haya maamuzi yalitegemewa ili kuibeba simba, ligi ya tanzania ya kipuuzi sana
 
Takukuru ngoja tuwasikie nao
Ni uwalakini upi hauo? Baada ya kukuta walakini wamechukuliwa hatua gani za kisheria?
I wonder.. hajasema! Kachukulia poa sana yanga kuwa na mkataba wenye walakini. Yaani kama it's ok...
 
RAIS WA TFF na kamati zake zote ni wanachama wa simba, Yanga haiwezi kutendewa haki hata siku moja
 
RAIS WA TFF na kamati zake zote ni wanachama wa simba, Yanga haiwezi kutendewa haki hata siku moja
Lini mumewai kushinda kesi mkuu. Kwenye mambo ya uweledi wa sheria simba wamewaacha mbali
 
Reactions: Tui
Polen na majukum wadau

Leo Tff wametoa Maamuzi juu ya mchezaji Morison kua yupo Huru mkataba wake na Yanga ulikua na Mapungufu

Lakin swali ambalo Bado ninalo kichwan apa ni kwanin Morison Anatakiwa Arudishe hela za Yanga alizo kwisha kuchukua swali ni kwanin Morison Anatakiwa Alipe pesa

Na ili wezekana vip achukue PESA Bila ku sign?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
kwa kifupi aliwekewa kimakosa/ bila ridhaa yake kwenye account yake..
lakini pia kama mkataba ulikuwa batili kisheria.. kuuvunja ni kurudisha gharama zote
 
TFF inajulikana ni tawi la simba, Simba wamekuwa mabingwa kwa kubebwa na marefa, haya maamuzi yalitegemewa ili kuibeba simba, ligi ya tanzania ya kipuuzi sana

Vyura sijui mutakuwa na akili lini? Kwahiyo ulitakaje kwa Mfano?
 
Reactions: Tui
Huu mgogoro wa Morrison umetuletea tetemeko jamaa hafai achunguzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…