Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

Yaani hii kesi na ivyoripotiwa na matokeo miye hoi, pia kama ilikuwa vile ilivyoripotiwa na kumbe sivyo binti wamemuharibia sana kitaa.
 
Hapo wendi hajashinda kesi bali upande maombi yamewasilishwa na Upande wa Serikali kutokuwa na niya ya kuendelea na shauri.
TATIZO HUWA LINAANZIA WAPI??!
kwa kweli tatizo ni kwa Wananchi, tukio linapotokea wananchi au jamii haitoi ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi na ushahidi mahakamani.
Watu ni wepesi kusema mtaani ila si kutoa ushikiano kwa vyombo vya kiuchunguzi ili wanaostahili adhabu waipate.
Kwa hiyo tusitegemee kuona mtu anafungwa wakat ushahidi wa kumtia hatiani tumeukalia na hatutaki kutoa ushirikiano.
Sasa tuache kunungunika tutoe ushirikiano wa kutosha (ikiwa ni pamoja na baadhi tuhudhurie Mahakamani) alafu tuone kama watu wataachiwa kirahis tena.
 
Ngoja tuomboleze msiba wa mashabiki wa watani zetu waliofariki jana usiku Msata
Mungu awalaze pema peponi marehemu watani zetu.

Mungu ampumzishe pema mama ambaye amekufa mysteriously na kesi kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…