Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

Unless wewe ni Kobe yaani utakufa na nyumba yako; basi hauna tofauti na hao wapangaji....

Sote ni Wapitaji....
 
Sasa hayo maswali kwa wazee wetu,ungewauliza wao,maana wengine hatuna namna,walishatangulia mbele ya haki,sasa hv tunapambana Ili uzao wetu uaije ukaishi kwenye nyumba za kupanga,
Ila bro kupanga sio uzwazwa,inategemea umeanzia wapi,
Kama wewe unatoka familia kama ya Kikwete,Mkapa,Balali,Edwin Mtei,na vibopa wengine,hutapanga,lakini kama Mzee alikuwa Mtumishi wa umma,Tena local government,wewe hata fulsa uta husle sana kuzipata,unakuta nyumba mliyo nayo,ni hiyo ulipozaliwa,lazima utapanga tu,kwa kuanzia.
Ila Vijana inabidi kwenda hatua moja zaidi,usijenge tu nyumba ya kuishi!,Jenga kadhaa Ili uzao wako upate pa kuanzia,pili waachie business ya kufanya,wape Elimu Bora,waandalie mtaji,assets,
 
Sijui kama hutoki kule ilikoingia ndege ziwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…