Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Ukweli mifumo yetu ipo dhaifu sana.

Huyu marehemu, kwa kigezo chochote kile hakustahili kupewa hiyo nafasi, hata ya Uwaziri Mkuu hakufaa.

Kama tutabakia katika namna ile iliyoruhusu mtu kama Magufuli kuwa Rais, hakika tutarajie kuwapata akina Nguema, Doe, Stallin au akina Bokasa siku za mbeleni.

Yaani mtu anakuwa Rais, wakati:

Aliwahi kuugua matatizo ya akili.

Baba yake hakuwahi kuukana uraia wa Burundi lakini akajipachika kabila la usukuma.

Alishawahi kuiba nyumba za Serikali na kuwapa vimada na ndugu zake.

Ubunge wenyewe alikuwa akiupata kwa kuwahonga wapinzani wake ili apite bila kupingwa.

Wizara aliyokuwa akiiongoza ilikuwa ikiongoza kwa upotevu wa fedha, uduni wa viwango vya ujenzi wa barabara, barabara nyembamba kuliko viwango vilivyokuwepo kwenye mikataba.

Tatizo siyo la aliepewa Urais bali ni kwa mifumo yetu ya utawala na uzembe wa hali ya juu kwa waliokuwa kwenye mamlaka za uteuzi wa wagombea (Mkapa, Kikwete, kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM)
 
Umenena mkuu!
 

Vipi hela za plea bargain zilizofichwa Uchina?!, ununuzi wa ndege za mabilioni cash?! Mayanga construction na ujenzi wa uwanja wa ndege chato, Uuzaji wa nyumba za Serikali, kivuko kibovu cha mv bagamoyo.

Huko kote Hamna ufisadi kweli?!

Unataka kutuaminisha kwamba Magufuli alikua msafi kuliko hao mafisadi alioawashughulikia.

Vipi kuhusu uchaguzi mkuu wa 2020?
 
Hivi nauliza, mwanasiasa mgonjwa na wa kuthibitika katoka Milembe, leo bado tutampa urais?
 

Hakuna mzima kichwani.
 
Katiba mbovu huleta viongozi wa hovyo kama Jiwe.

Viongozi wa sandakalawe mwenye kupata apate mwenye kukosa akose.

Ndio ilivyokua mwaka 2015.
 
Wana wa Israel walilia kupata Mfalme, Mungu kupitia Samwel akawaambia athari za Mfalme ila hawakuelewa, wakapewa Mfalme ambaye mwisho walijuta
 
Wewe usiyekuwa na huo ubaya aliokuwa nao Magufuli (kwa mujibu wa maelezo yako), unaweza kuupata huo Urais kwa ndoto za usingizini?

Ufukara unakusumbua.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, umasikini mbaya kuliko wote ni umasikini wa mawazo!
 
Hivi ilikuaje Msanii JK akawa Rais badala Dr Salim Ahmed Salim!
Hii nadhani ata Dunia ilitushangaa!!
 
Hivi nauliza, mwanasiasa mginjwa na wa kuthibitika katoka Milembe, leo bado tutampa urais?

Kama hakuna taarifa kuwa mgombea fulani amewahi kuugua matatizo ya akili, utawezaje kutomchagua kwa kigezo cha tatizo la afya ya akili? Kama hakuna mifumo inayofuatilia kuhusu wagombea, inawezekana mkamchagua hata aliyewahi kuugua matatizo ya akili.

Bahati mbaya, kwa walio wengi mago jwa ya akili hayaponi moja lwa moja 100%. Lakini ukiwaacha wale vichaa, wengi wenye matatizo ya afya ya akili, hawawi kwenye hali hiyo wakati wote. Leo anakuwa vizuri, kesho yupo vingine. Leo anafanya mazuri kesho anafanya ya hovyo mpaka mnachanganyikiwa. Leo anaweza kuonesha wema sana, kesho ukatili uliopindukia.
 
Hilo bado ni tatizo.
Uongozi unahitaji a mentally sane and stable personality.
 
Huo mstari wa kwanza..., CCM haina nia wala msukumo wowote wa kufanya hivyo kwa sababu ndiye mnufaika mkuu wa hali ilivyo.
 
JPM aliipenda nchi yake kwa dhati na ndiyo maana angeweza kufanya chochote na wakati wowote kuhakikisha nchi yetu inapata maendeleo.
Enzi za JPM nchi ilienda kwa kukimbia kimaendeleo.
Sasa tunatambaa kama siyo tumebaki pale alipotuacha!
 
Tena natamani tupate DIKTETA zaidi ya JPM, maana JPM alikuwa na huruma hadi kuwasamehe waliokuwa wanamtukana "live"!
 
Unajiuliza kwa kua wewe ni mtu mjinga na mbinafsi. Yote aliyofanya kwa faida ya umma si kitu kwako.
Pambafu.
 
Mkuu una hali mbaya sana kwenye ubongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…