Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Najitahidi sana[emoji1732]
Screenshot_20221117-191630_1.jpg
 
Ukiwa na tamaa usiwe muoga.

Linda sana afya yako ingawa hakuna tuzo kufa na maini au mapafu mazima.

Penda na ijali sana familia yako.

Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha uchumi.


#MaendeleoHayanaChama
Ukiwa na tamaa usiwe muoga... Mkuu hapa sijui uliwaza nini ..🤣🤣🤣
 
1. Usipigie hesabu pesa usiyo nayo mkononi
2. Heshimu watu bila kujali hali na mwonekano
3. Ondoa aibu kwenye fursa as long as kuna pesa unaipata piga kazi
4. Usiwe mwepesi kutoa kila unapoombwa utachelewa kufikia malengo toa kwa kiasi
5. Hakikisha kwenye circle yako kuna watu wa maana, wale umekwama lazima wakuokoe maana maisha yana kupanda na kushuka, mwisho mshilikishe Mungu kwenye hatua zako jifunze kuombea hustle zako .
 
Back
Top Bottom