Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Come with transportation tafadhalPia nimejifunza "Fortune favor the brave"
Nimeipenda hyo ya kusema pombe za kienyeji 🤣🤣🤣🤣Maisha Ni kufanya Kazi
Kukaa mbali na Uzinzi
Pombe za kienyeji
Kula Sana vizuri
Vaa vizuri
Nenda uka-part
Sali muombe Mungu akufungulie njia
Umenena mkuu,aya mambo ya matarajio hua yanaumiza sana hasa mambo yanapoenda tofauti..[emoji849]1. Simuamini mtu, najiamini mimi mwenyewe. Na Mungu tu !
2. Siku zote naangalia nilichonacho siyo nachokitaka.
3. Natarajia sifuri kutoka kwa mtu yoyote.
Ulitarajia nini kikaenda tofauti mkuu...?Umenena mkuu,aya mambo ya matarajio hua yanaumiza sana hasa mambo yanapoenda tofauti..[emoji849]
Ukiwa na tamaa usiwe muoga... Mkuu hapa sijui uliwaza nini ..🤣🤣🤣Ukiwa na tamaa usiwe muoga.
Linda sana afya yako ingawa hakuna tuzo kufa na maini au mapafu mazima.
Penda na ijali sana familia yako.
Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha uchumi.
#MaendeleoHayanaChama
100%?? no🙅♂️🙅♀️🙅♂️🙅♂️Kwahyo hata wewe tusikuamini
Daaah hapo nakubali kaa hata wewe unajikataa kweli kuamini mtu ni sumu 🤣🤣🤣🔨🔨🔨📌📌100%?? no🙅♂️🙅♀️🙅♂️🙅♂️
Na kwanni uishi nao...?Kuishi na wajinga wengi inahitaji uvumilivu wa hali ya juu
Yaani acha tuu mkuu walimwengu wana maneno matamu sana!![emoji3]Ulitarajia nini kikaenda tofauti mkuu...?
Hapo ujajifunza mbona....Nimejifunza kuwa,maisha hayana maana kabisa,after all unaenda kufa tu.
🥲🥲🥲🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani acha tuu mkuu walimwengu wana maneno matamu sana!![emoji3]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilichogundua Mali ya urithi tamu ila haidumu. Du mpo wapi nyie tuliokula wote Mali za urithi.