Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

Zawadi ya uhai
 
Sehemu ya uhuru huo ni kuhoji kila mara Mungu anapoletwa kwenye public discourse.

Ndicho tunachofanya hapa.
Ni kweli kabisa, ni haki yenu kuhoji, kwani Mungu aliwapa free will, uhuru wa kuchagua upande.
 
Kwanza uzima tu ni bahati kwangu .....mengine ni Kazi ,maisha ,chakula ,mavazi ,gari ,na vingine vingi bila yeye mimi si kitu ................na sijui nimefikaje hatua hii ,sijafika naomba anisaidie zaidi nipige hatua
 
Kwa kweli ni hii pumzi anayoendelea kunibariki nayo mpaka muda huu haijalishi tajiri au maskini wote tunafaidika nayo. Atukuzwe Mungu milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…