Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hiyo ibada nayo ni ushahidi Mungu hayupo.Mkuu wakati wa ibada umefika tena, wacha niende, narudi tunaendelea
Angekuwapo kusingehitajika ibada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ibada nayo ni ushahidi Mungu hayupo.Mkuu wakati wa ibada umefika tena, wacha niende, narudi tunaendelea
Uwepo wa ulimwengu wenye dhambi ni uthibitisho tosha kwamba kazi ya uumbaji ya huyo mungu haikuwa kamilifu na ina dosari na kasoro.Mabaya, maovu na mateso ni matokeo ya dhambi, na kwa kuwa tunaishi katika Ulimwengu wa dhambi nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, neema na rehema zake kwani hata nyakati za magumu bado alinipa amani ya moyo na ujasiri wa kushinda.
Hivyo ntamshukuru daima kwa kila kitu. Thank you Jesus🙏🏿
Falsafa za kiranga bwanaa..Hiyo ibada nayo ni ushahidi Mungu hayupo.
Angekuwapo kusingehitajika ibada.
Hilo nalo bado halijathibitisha Mungu yupo.Falsafa za kiranga bwanaa..
Embu elezea wewe Ni Nani ?? Unajua Kuna ramli? Mtu anaweza akawa huku TANZANIA na akakutizama wewe ukiwa marekani 😂 kwa kutumia RAMLI...
Mkuu,Uwepo wa ulimwengu wenye dhambi ni uthibitisho tosha kwamba kazi ya uumbaji ya huyo mungu haikuwa kamilifu na ina dosari na kasoro.
Mungu huyo alishindwa kuumba ulimwengu usiyo na dhambi na badala yake ameruhusu uwepo wa ulimwengu wenye dhambi uwepo.
Sijui nianzie wapi.Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na huenda ukiulizwa kuyasema, kwasababu ya muda na ufinyu wa platforms, usimalize kuyaorodhesha yote...
Hebu mbele ya hadhara hii ya familia ya wanaJF,
Shuhudia matendo mema na makuu ya Mungu kwa uchache, alioyokutendea maishani mwako, ili kwa pamoja kama watoto wa Mungu, tushuhudie sifa na utukufu wake kwa watoto wake katika ulimwengu huu....
Neema na Baraka za Mungu, ziandamane na kuambatana nawe daima, katika familia yako, kazi na majukumu yako ya kila siku daima na milele....
Amen..
Kuna Mambo ambayo akili zetu za udadisi na za kibinadamu zinafikia ukomo unakubaliana na HILI..Hilo nalo bado halijathibitisha Mungu yupo.
Kunitizama mimi nikiwa Marekani kutoka mbali hata kwenye Whatsapp unaweza.
Thibitisha Mungu yupo.
Hilo nalo si uthibitisho kwamba Mungu yupo.Kuna Mambo ambayo akili zetu za udadisi na za kibinadamu zinafikia ukomo unakubaliana na HILI..
😂Typing error, hujampenda mtuNan kasema nimempenda wewe Mrs mwashambwa?
Duh hv ukiwa umezoea kuishi na mwenzako miaka mingi hivyo utakuja weza ishi peke yako mkuu,?Zawadi ya uhai na kuweza kumaliza 2yrs nikiwa bachelor after 18yrs relationship.
Duh hv ukiwa umezoea kuishi na mwenzako miaka mingi hi
Ni kazi mno. Inahitaji msaada mkuu wa Mungu Baba. Mkubwa sana..... Ila lazima aidha utaishia kuchepuka mno au utafuta nyumba ya pili haraka.Duh hv ukiwa umezoea kuishi na mwenzako miaka mingi hivyo utakuja weza ishi peke yako mkuu,?
Kwani hao waliozaliwa huko ukanda wa Gaza na Far East, Hawakupaswa kuwa na amani?Mkuu,
Una comment hapa ukiwa mmeshiba na una kipato chako Cha kila mwezi
Tanzania hapa amani Ni bwerere Usha jiuliza kwanini HAUKUZALIWA UKANDA WA GAZA AU HUKO MASHARIKI YA MBALI ""FAR EAST"".
Kuzaliwa Tanzania, Kenya, Rwanda, Ukanda wa Gaza, Afghanistan, Iraq, Congo, Ulaya au Amerika Hakuna uhusiano wowote ule wa uwepo wa huyo Mungu.Mwenyezi MUNGU akiamua unakua yeyote muda wowote..
Tumsifu yesu Kristi.
Hili swali wataliruka kama vipofu vile.Kwa hiyo wote waliotendewa mema ni sababu ya Mungu?? Je walio pata ajali,vilema,wagonjwa,waliochinjwa,walioliwa na wanyama-Mungu alikuwa wapi?
Sawa mkuu Ila Mungu yupoKwani hao waliozaliwa huko ukanda wa Gaza na Far East, Hawakupaswa kuwa na amani?
Au huyo Mungu ndio alifanya hizo nchi ziwe na vita na machafuko ili mtu yeyote akizaliwa nje ya hizo nchi ashukuru kwa kutozaliwa kwenye hizo nchi zenye vita?
Kuzaliwa Tanzania, Kenya, Rwanda, Ukanda wa Gaza, Afghanistan, Iraq, Congo, Ulaya au Amerika Hakuna uhusiano wowote ule wa uwepo wa huyo Mungu.