Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Hapana mimi ni Mtanzania kwetu ni kigoma mloleWewe ni mrundi?
Una ellimu gani tafadhali!?
Umewahi miliki kitu gani ulichokitolea jasho!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidWakuu kumekuwa na ile kanuni au sheria ya kutompatia wakala wa chama nakala ya matokeo ya kura ikiwa hakutakuwa na nakala za kutosha za matokeo hayo.
Nahisi Tume imeliweka jina la CHADEMA mwisho kwenye karatasi hiyo ili kila wakigawa nakala za fomu za matokeo zisimfikie wakala wa CHADEMA kwani zitakuwa zinaishia katikati kwani watakuwa wakianzia juu kwa CCM ambayo imeorodheshwa namba moja.
Napata hofu zaidi pale nilipomsikia mtumishi wa NEC aliposema fomu ya matokeo inapojazwa inaweza kutoa nakala kumi na mbili kwa mara moja. Fikiria kuna wagombea urais 15, nakala 12!, wale wengine wataambiwa nakala hazitoshi , na usishangae vyama vyenye wagombea urais hata kama wengine ni wasindikizaji tu watakuwa na mawakala feki kila kituo ambao dhahiri watakuwa wamewekwa na chama tawala cha sasa ili kutimiza malengo yao ya kuwanyima mawakala wa CHADEMA fomu za matokeo kwa kisingizio kuwa fomu zimeisha au hazitoshi.
NAWAZA TU, MAANA HUJUMA ZA KUIHUJUMU CHADEMA ZIMEKUWA NYINGI MNO
Utakuwepo ndani?Mkuu Tunachukua fomu ya matokeo ya msimamizi wa kituo...yeye atanakili kwenye notebook........
Nitakuwepo mita 100 karibu kabisa na kituoUtakuwepo ndani?
Mhhh ngumu kumesaNitakuwepo mita 100 karibu kabisa na kituo
UNADHANI KWANINI WAKAWEKA HAKO KA KIPENGELE KWENYE KANUNI ZAO???Inajulikana kuna vyama 15 so NEC wanajua hilo kila wakala anatakiwa kuwa na nakala ya matokeo
Ni marufuku kuwa na simuNakala moja itatosha. Kitakacho fanyika ni huyo mwenye nakala hiyo kuipgia picha na kuisambaza kila sehemu... hata kama wasipotoa, bado pivha za nakala hizo zitapatikana tu.. ni ujuha wa NEC kufikiri kwamba kutoa nakala moja kutawaondelea wapinzani kelele...
Msimamizi atatoa yake no more no lessWakuu kumekuwa na ile kanuni au sheria ya kutompatia wakala wa chama nakala ya matokeo ya kura ikiwa hakutakuwa na nakala za kutosha za matokeo hayo.
Nahisi Tume imeliweka jina la CHADEMA mwisho kwenye karatasi hiyo ili kila wakigawa nakala za fomu za matokeo zisimfikie wakala wa CHADEMA kwani zitakuwa zinaishia katikati kwani watakuwa wakianzia juu kwa CCM ambayo imeorodheshwa namba moja.
Napata hofu zaidi pale nilipomsikia mtumishi wa NEC aliposema fomu ya matokeo inapojazwa inaweza kutoa nakala kumi na mbili kwa mara moja. Fikiria kuna wagombea urais 15, nakala 12!, wale wengine wataambiwa nakala hazitoshi , na usishangae vyama vyenye wagombea urais hata kama wengine ni wasindikizaji tu watakuwa na mawakala feki kila kituo ambao dhahiri watakuwa wamewekwa na chama tawala cha sasa ili kutimiza malengo yao ya kuwanyima mawakala wa CHADEMA fomu za matokeo kwa kisingizio kuwa fomu zimeisha au hazitoshi.
NAWAZA TU, MAANA HUJUMA ZA KUIHUJUMU CHADEMA ZIMEKUWA NYINGI MNO
NEC walishajua itakuwa ya mwisho.Wakuu kumekuwa na ile kanuni au sheria ya kutompatia wakala wa chama nakala ya matokeo ya kura ikiwa hakutakuwa na nakala za kutosha za matokeo hayo.
Nahisi Tume imeliweka jina la CHADEMA mwisho kwenye karatasi hiyo ili kila wakigawa nakala za fomu za matokeo zisimfikie wakala wa CHADEMA kwani zitakuwa zinaishia katikati kwani watakuwa wakianzia juu kwa CCM ambayo imeorodheshwa namba moja.
Napata hofu zaidi pale nilipomsikia mtumishi wa NEC aliposema fomu ya matokeo inapojazwa inaweza kutoa nakala kumi na mbili kwa mara moja. Fikiria kuna wagombea urais 15, nakala 12!, wale wengine wataambiwa nakala hazitoshi , na usishangae vyama vyenye wagombea urais hata kama wengine ni wasindikizaji tu watakuwa na mawakala feki kila kituo ambao dhahiri watakuwa wamewekwa na chama tawala cha sasa ili kutimiza malengo yao ya kuwanyima mawakala wa CHADEMA fomu za matokeo kwa kisingizio kuwa fomu zimeisha au hazitoshi.
NAWAZA TU, MAANA HUJUMA ZA KUIHUJUMU CHADEMA ZIMEKUWA NYINGI MNO
Hivi hii ya kutokuwa na simu inawezekana kweli au ni ma green ya Nec ? kwa nini wanazuia watu kuwasiliana, itakuwaje kama wakala amepata dharura na anahitajika kuwasiliana na mke au familia yake kwa dharura? na hata matokeo yakiwa njiani kwenda kwa mkurugenzi, hivi inawezekanaje hata hao wabebaji wasiwe na simu? na ni kwa nini simu haziruhusiwi? nini mantiki yake ? kificho cha matokeo au ? kwa manufaa ya nani?Ni marufuku kuwa na simu