Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Mimi
Wewe ni mrundi?
Una ellimu gani tafadhali!?
Umewahi miliki kitu gani ulichokitolea jasho!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi ni Mtanzania kwetu ni kigoma mlole

Elimu yangu ni kidato cha nne japo nilifika form six ila sikufanya mtihani Taqwa high school mwanza

Ninamiliki viti vingi tu kama shamba la avocado manyovu kigoma

shamba la migazi lwanda kagera(kigoma)

shamba la mahindi kihinga kigoma

na kuku 3, mbuzi 1, njiwa 60 na bata wawili
 
Tafadhali, bila kujali kama wananchi wanajua au hawajui jinsi ya kupiga kura, tumia muda uliobaki kuwaelimisha wapigakura wenu namna ya kupiga kura. Hii ni pamoja na:

1) Kuwaeleza kuwa wagombea urais ni wengi, hivyo karatasi ina picha nyingi za wagombea.

2) Waeleze namna ya kutambua mgombea wa chama, specifically CHADEMA.

3) Watahadharishwe kuwa kuna vyama vina majina yanashahabiana na CHADEMA mfano DEMOKRASIA MAKINI NA CHAUMA. Ni muhimu wapigekura wakipewa karatasi wasiwe na papala, watulie, wasome mara mbili mbili wajiridhishe kuwa analotaka kuweka tiki ni boksi la CHADEMA.

4). Wasiwe na hasira ya kuweka X kwa wagombea wengine, wake V tu kwa wanayemtaka, vinginevyo kura nyingi zitaharibiwa.

5). Kama kuna uhakika position ya CHADEMA haitabadilishwa ktk karatasi ya kura, watakiri moja kwa moja kuwa MGOMBEA WETU NI WAMWISHO KATIKA KARATASI YA KURA. KAMA VIPI TEMBEA NA SAMPLE KATIKA KILA MKUTANO.
 
Wakuu kumekuwa na ile kanuni au sheria ya kutompatia wakala wa chama nakala ya matokeo ya kura ikiwa hakutakuwa na nakala za kutosha za matokeo hayo.

Nahisi Tume imeliweka jina la CHADEMA mwisho kwenye karatasi hiyo ili kila wakigawa nakala za fomu za matokeo zisimfikie wakala wa CHADEMA kwani zitakuwa zinaishia katikati kwani watakuwa wakianzia juu kwa CCM ambayo imeorodheshwa namba moja.

Napata hofu zaidi pale nilipomsikia mtumishi wa NEC aliposema fomu ya matokeo inapojazwa inaweza kutoa nakala kumi na mbili kwa mara moja. Fikiria kuna wagombea urais 15, nakala 12!, wale wengine wataambiwa nakala hazitoshi , na usishangae vyama vyenye wagombea urais hata kama wengine ni wasindikizaji tu watakuwa na mawakala feki kila kituo ambao dhahiri watakuwa wamewekwa na chama tawala cha sasa ili kutimiza malengo yao ya kuwanyima mawakala wa CHADEMA fomu za matokeo kwa kisingizio kuwa fomu zimeisha au hazitoshi.

NAWAZA TU, MAANA HUJUMA ZA KUIHUJUMU CHADEMA ZIMEKUWA NYINGI MNO
 
Well said
 
Nakala moja itatosha. Kitakacho fanyika ni huyo mwenye nakala hiyo kuipgia picha na kuisambaza kila sehemu... hata kama wasipotoa, bado pivha za nakala hizo zitapatikana tu.. ni ujuha wa NEC kufikiri kwamba kutoa nakala moja kutawaondelea wapinzani kelele...
 
Ni marufuku kuwa na simu
 
Wakuu kumekuwa na ile kanuni au sheria ya kutompatia wakala wa chama nakala ya matokeo ya kura ikiwa hakutakuwa na nakala za kutosha za matokeo hayo.

Nahisi Tume imeliweka jina la CHADEMA mwisho kwenye karatasi hiyo ili kila wakigawa nakala za fomu za matokeo zisimfikie wakala wa CHADEMA kwani zitakuwa zinaishia katikati kwani watakuwa wakianzia juu kwa CCM ambayo imeorodheshwa namba moja.

Napata hofu zaidi pale nilipomsikia mtumishi wa NEC aliposema fomu ya matokeo inapojazwa inaweza kutoa nakala kumi na mbili kwa mara moja. Fikiria kuna wagombea urais 15, nakala 12!, wale wengine wataambiwa nakala hazitoshi , na usishangae vyama vyenye wagombea urais hata kama wengine ni wasindikizaji tu watakuwa na mawakala feki kila kituo ambao dhahiri watakuwa wamewekwa na chama tawala cha sasa ili kutimiza malengo yao ya kuwanyima mawakala wa CHADEMA fomu za matokeo kwa kisingizio kuwa fomu zimeisha au hazitoshi.

NAWAZA TU, MAANA HUJUMA ZA KUIHUJUMU CHADEMA ZIMEKUWA NYINGI MNO
Msimamizi atatoa yake no more no less
 
NEC walishajua itakuwa ya mwisho.
 
Hofu ni kubwa sana, sijui kwanini tumefika hapa... mbona CHADEMA ifanyiwe yote hayo tena kirahsi namna hii?
 
Ni marufuku kuwa na simu
Hivi hii ya kutokuwa na simu inawezekana kweli au ni ma green ya Nec ? kwa nini wanazuia watu kuwasiliana, itakuwaje kama wakala amepata dharura na anahitajika kuwasiliana na mke au familia yake kwa dharura? na hata matokeo yakiwa njiani kwenda kwa mkurugenzi, hivi inawezekanaje hata hao wabebaji wasiwe na simu? na ni kwa nini simu haziruhusiwi? nini mantiki yake ? kificho cha matokeo au ? kwa manufaa ya nani?
 
Hatujui nia ya NEC na methodology waliyotumia kuchambua wapigiwa kura ktk karatasi.

Ila kumuweka wa CCM juu na Mwisho LISSU ni kurahisisha uchaguzi na hii inamuongezea Kura Lissu kuliko CCM.

Kwa nini? Mpiga kura anaoption Moja tu. Kuchagua wa Kwanza au wa Mwisho.

Hana option ya kusaka mgombea humo katikati.

CCM wangepata kura nyingi ikiwa Lissu angewekwa katikati ya wengine ambaye ili umpate itabidi umgoogle kwelikweli.

Kwa waliosoma hisabati za probability uwezekano wa mtu kuchagua Lissu ni sawa na uwezekano wa kumchagua magufuli.

Kazi ya CHADEMA ni kuufahamisha umma una option ya kuchagua Mwanzo au Mwisho.
 
Back
Top Bottom