Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

NEC ni kituko dunia nzima wanajua kuwa mahera ni empty
 
..hapo ni rahisi kumuengua mgombea Uraisi wa Chadema.
 
Wakati muafaka wa kuendeleza propaganda .... ... tunahesabu siku tu sasa wazandiki wote watakiona cha ntema kuni.
 
Kwanini haukufuata mtiririko wa kialfabeti?
 
Mpangilio umefuatwa kulingana na jinsi wagombea walivyorudisha fomu zao za uteuzi.
 
Usiwe na wasiwasi kiongozi kuhusiana na huu mpangilio. Wamehasau kuwa Mungu humuinua mtumishi wake kutoka kwenye familia ya wanyonye na wanyenyekevu ili kuongoza taifa lake. Hakika Mungu wetu ni mkuu sana.
 
Mpangilio wa alphabeti ndiyo ambao unakubalika kimataifa. Sijui hii imekaaje! Ila busara na hekima hutupa mantiki ya kuwa aliye wa kwanza huja kuwa wa mwisho, na wa mwisho huwa ni wa kwanza.
Amen
 
Imezingatia kiwango cha uelewa na uvivu wa kusoma wa wapigakura wetu.
Maoni
 
Haya majinamizi ya nec wanachokitafuta mda mrefu kimekaribia sana kutokea.
Vitukuu vyao vitajasimuliwa ni nini kiliwapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…